Recent content by Pamwanya

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kampeni za Urais: Nani wako nyuma ya Lowassa na kwanini?

    Hata wewe mtoa mada,kwa kiuandika hivi tu tayari uko nyuma ya Maasai Good job
  2. P

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

    Katiba inaruhusu Rais kumsamehe mfungwa yeyote kwa kosa lolote
  3. P

    JamiiForums Tanzania GE2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

    Hilo ni gazeti la chama unategemea nn
  4. P

    JamiiForums Tanzania Lowasa taabani kwenye Media. TBC1 na Star TV wakataa kurusha habari yake

    Duuu!Tbc nayo ya kuhesabu kama chombo cha habari?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Tayari mabomu yanarindima hapa Njombe muda huu

    Uwezo mdogo wa kufikiri
  6. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Lazaro Nyalandu ajibu tuhuma za Mbunge Joshua Nassari

    Kuwepo kwa askari wengi sio ishue,watu wanatongoza standi kwan kunakuwa hakuna lundo la watu? Au uwanja mpira na siku za mwenge je? "Malaya ni malaya africa hata ulaya"
  7. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

    Jaribu kutofautisha upole na unafiki,unaweza ukamuona mtu kama mpole kumbe bonge la mnafiki
  8. P

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awasili kituo kikuu cha Mabasi Ubungo na kulakiwa kwa shangwe kubwa

    hata mama yako alikuwa katibu
  9. P

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu wa Marekani Bill Clinton atembelea Iringa

    Leo katika hali isiyo ya kawaida askari walitanda barabara kuania uwanja wa ndege wa Nduli mpaka ipogolo,kumbe kulikuwa na ujio wa rais mstaafu wa marekani,rais huyo aliwasili majira ya saa nne asubuhi na kuelekea kidabaga ambako inasemakana anamiliki kampuni la New forest ambalo lina eneo...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Msajili wa Vyama vya Siasa: Nitavifuta CHADEMA na CUF

    wana watesa tu watoto wa masikini,hapo huwezi kukuta mtoto wa waziri,balozi wa katibu mkuu wa wizira, ila wa mwenyekiti wa kitongoji,mlima nyanya,mfuga kuku. Mchoma vitumbua nk
  11. P

    JamiiForums Tanzania Bango la Dr Slaa Lazua Mgogoro UKAWA; CUF Watoa Onyo!

    Vile tumia akili kuwaza hao walioandika ni wapenzi wa chadema na sio wasemaji wa chedema, na mabando ya lowassa utasema ni ccm wamesema? Wakati nape kila leo analalama, make more sense than stupidy mistake
  12. P

    JamiiForums Tanzania Bango la Dr Slaa Lazua Mgogoro UKAWA; CUF Watoa Onyo!

    acha ujinga Pinda yupi? Waziri mkuu analia baada ya albino mmoja kukatwa mkono waka anauwezo wa kutoa amri walifanya kitendo wakafahamika,mbona wauaji wa RPC Mwanza tuliambiwa wanematwa,kwa kulia lia huko je tukivamiwa Rwanda itakuwaje? Wanasiasa wenzie wapigwe tu
  13. P

    JamiiForums Tanzania Membe: Hakuna mtanzania aliyefariki kwa vurugu za Afrika Kusini

    Hili swala halihitaji mazungumzo,ilitakiwa kwanza warudi wenzetu ndo mazungumzo yafuate
  14. P

    JamiiForums Tanzania Sitta apangua tuhuma za Zitto

    Maana hakuna namna sasa tumechoka
Back
Top Bottom