@TANESCO jambo langu limefanukiwa mafundi wenu walikuja leo ASUBUHI kulishighulikia tatizo langu na wamelitatua
Nashukuru sana kwa ushirikiano na msaada kwa haraka
Lakini hapa mtaa pili kuna NGUZO imeoza imekatika kabisa juu kwenye VIUNGIO kwa maana inashukiliwa na waya tu nakuwekea picha...
Wako vizuri sana usisite kuwapigia mm tatizo niliwaambia jana leo wamekuja mafundi kutatua
Kwa hili wanajitahidi sana 7bu sio mara ya kwanza kunitatukia shida yangu kwa wakat
Nawaoa HONGERA SANA TIMU YA NTANDAONI NA EMERGENCY WA BAJAJI wako humble na faster sana
Akhsante sana TANESCO jambo langu limefanukiwa mafundi wenu walikuja leo ASUBUHI kulishighulikia tatizo langu na wamelitatua
Nashukuru sana kwa ushirikiano na msaada kwa haraka
Lakini hapa mtaa pili kuna NGUZO imeoza imekatika kabisa juu kwenye VIUNGIO kwa maana inashukiliwa na waya tu...
Nenda siku HOSPITAL LUGALO uone ukivaaJEZI au TRACKSUIT unapelekwa uwanjani ukacheze mpila na kufanya mazoezi ya VIUNGO na wanajeshi.
HESHIMU maadili yako ya KITANZANIA acha kuigaiga UZUNGU.
yaan hali ya mgonjwa PRIVACY zake zitangazwe na HOSPITAL public umeona wapi hiyo
Wao wamewapa taarifa watu wa karibu na mgonjwa
hao watu wa karibu ndio wameamua kutoa taarifa PUBLIC kufuatia maelezo kutoka kwa madoctor
Kona shida gani hapo
Hapo naona moja ni DDR3L
na Nyingine ni DDR3 kavu
Kuna mambo mawili inawezaka PC yako inasuport DDR3L tu pekee hvyo ukiweka DDR3 kavu inakataa kuwasha
Au PC yako motherboard yake haitaki uchanganye DDR3L na DDR3 kavu
Maaana eidha uweke DDR3L pekee au uweke DDR3 kavu pekee
Hizo za chini za...
Digital ni SATELLITE tv station
Inamaana ukiunganisha ANTENA ya kawaida au DISH unapata mpk ALJAZEEEA na Station nyingine zA local bila kuhitaji KINGAMUZI
ANALOGY ni mfumo wa zamani ambao TANZANIA tushauacha labda mikoani
nI ule mfumo wa SHUNGUZA antena chengachenga kibao
HDMI/ARC
hii ni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.