Recent content by Pamie

  1. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mrembo wa kuzaa naye

    Au unahitaji jinsia fulani uneikosa.. why mkeo akatae kukuzalia.. may be kaona kuna ualakin wa matunzo kwa familia. Then wataka zaa nje ya ndoa.. What next km ukitangulia mbele ya haki.. huyu mtoto wa nje utamwacha ktk wakati gani..???
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

    Mmh website zinatofautiana sana. Ila za mambele utapata tu. Kwani pia ujue wapo wanaopenda video sex sana wenzetu sana tuu na.kuwatumia picha chafuu chafuu mnoo.. ila.ikumbukwe sio.wote walio hivyo.. hat hata hapa kwetu piaa ni ile ukijirahisisha my... mm ninaye wangu anatoka Canada ni mtu mzima...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kama Umejiajiri Pita Hapa

    Amina my
  4. P

    JamiiForums Tanzania Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    l Sana wazuri mnooo hili kabila.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mliofanikiwa Kupata Wenza, Mje mlete Mrejesho

    😱
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mliofanikiwa Kupata Wenza, Mje mlete Mrejesho

    Ndukiiii hhaah
  7. P

    JamiiForums Tanzania I want me a female very intelligent friend

    Ndukiiii🙌
  8. P

    JamiiForums Tanzania I want me a female very intelligent friend

    😁😁😁
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kama Umejiajiri Pita Hapa

    Kwanza nianze kusema mm ni mama wa watoto watatu. Nilianza kujitegemea nilipo achana na baba watoto wangu ktk mambo fulani.. Nakuja ktk mada yenyewe. Nilikuwa golikipa but akili.ilisimama pale nilipo kuwa separated ktk ndoa na.mme wangu.. nikaingia ktk kujifunza kusuka nywele za mkono bureee...
  10. P

    JamiiForums Tanzania I want me a female very intelligent friend

    Heri ungeandika kiswahili tu.. kuliko kuandima kiingereza cha chini ya mwembe khaaa...
Back
Top Bottom