Hahahahahahahahaha we unajua kuandika Na ntakuja nikufundishe mwandiko chapa naona waandika mwandiko wa kuunga nwalimu wako wa darasa LA kwanza sijui alikuwa nani ... . Ref your status u have written above and correct it.. nguvu
Nilikuwa naomba kufahamishwa kama tuliomaliza vyuo vya Ualimu kuhusu kwenda jeshi then kama kuna mtu alimalizia Chuo cha Ualimu singida naomba anitafute
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.