Recent content by Pamela MS

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba/Mume.

    Asante sana kaka kwa kunisaidia kuwaelewesha ambao wanakua hawajanielewa, Baada ya kuhitimisha hili naahidi nitarudi kuleta feedback na tutamshukuru mungu kwa pamoja!
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba/Mume.

    Ubarikiwe kaka.
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba/Mume.

    Asante sana kaka,hakika nimeuelewa ujumbe wako uliojaa busara na elimu ya kutosha,naamini mpango wa mungu ni mwema kwa kila binadamu na ni lazima utimie kwa kila mmoja ndio maana naamini wakati wangu nao ukifika upango wake utatimia na atanikutanisha na aliyemuumba kwa ajili yangu, Ubarikiwe...
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba/Mume.

    Bahati mbaya kaka mimi sipo tayari kubadili dini na ndio maana nimekuwa muwazi kabisa na kuhusiana na ishu ya dini.
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba/Mume.

    Sikuwahi kutoa mimba kwani sikutaka kuwa na mimba kabla ya kuolewa.
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba/Mume.

    Asante kaka kwa kunikumbusha niko makini na nitaendelea kuwa makin na kulizingatia hilo.
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba/Mume.

    Asante sana Herald Hunter,ngoja ni itafute na kuisoma,siasa nazipenda sana na nimfatiliaji mzuri wa siasa zetu ila sina hobi ya kuwa mwanasiasa. Ubarikiwe mkuu.
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba/Mume.

    AMEN,Hakika mungu wetu ni mwema na hutupa kwa wakati wake,ubarikiwe sana.
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba/Mume.

    Asante SUN,kwa kawaida inabidi kuweka vigezo vyote vile nahitaji kwani najua haiwezekani kupata aliyekamilika kwa yale yote mtu anahitaji kwa hiyo cha msingi ni upendo na userious wa mtu mengine yanaongeleka tu.
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba/Mume.

    Hongera kwa kunijibia vema kwani umeongeza idadi ya post kwenye profile yako,ubarikiwe sana.
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba/Mume.

    Nadhani umeshindwa tu kuelewa,nakushauri uende ukapae elimu ya ukimwi hutweza kuwa na mawazo km haya,
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba/Mume.

    Amen,nalitambua hilo dada,haya mambo bila kumtegemea mungu hua hayaendi,nimelikabidhi mikononi mwa mungu pia.
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba/Mume.

    Asante dada kwa kunitia moyo.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Here it is again...Leo tena!!

    Happy birthday mkuu.
  15. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba/Mume.

    Asante sana.
Back
Top Bottom