Recent content by PAMAGE

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini friji langu limepungua uwezo wa kugandisha au kupoza haraka? Naombeni msaada

    Sasa nini kifanyike ili gas walau idumu?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mtoto anachemkaaa akipimwa hana malaria....

    Asante sana ndg yangu mwanangu kwa sasa hajambo alikuwa na U.T.I
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mtoto anachemkaaa akipimwa hana malaria....

    Full blood picture akipimwa tarehe 6 ikaonekana ni bacteria infection hvyo nikapewa tu dawa ya kuongeza damu kutokana na damu ilivyokuwa imeshuka
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mtoto anachemkaaa akipimwa hana malaria....

    Ok kumbe mchango pia husababisha homa?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mtoto anachemkaaa akipimwa hana malaria....

    asante kwa ushauri nimeshamalizia kuandika
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mtoto anachemkaaa akipimwa hana malaria....

    Hospital tmj ila leo nmemplka zahanati kwa kuwa ni wknd hospital specialist wao hayupo
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mtoto anachemkaaa akipimwa hana malaria....

    Msaada wenu wapendwa mwanangu ana miezi 5 amekuwa akisumbuliwa na homa yaan anakuwa na joto kalii kichwani mikononi na tumbo ila kila nikienda hospital mtoto hana malaria. Japo mwanzo nilimkuta damu kimepungua sana akapewa dawa kwa sasa damu ni 12.3 na hana Tatizo jingine je shida yaweza kuwa...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Tear third degree

    Kovu Lipo kwani alivyorudiwa kushonwa baada ya muda nyuz baadhi ziliachia na. Kuzuka kidonda ambacho kimetcchukua zaid ya miez 2 kupona nje
  9. P

    JamiiForums Tanzania Tear third degree

    Asante sana ndg yangu
  10. P

    JamiiForums Tanzania Tear third degree

    Ok kwa hy miez 4 tangukushonwa au tangu kidonda kupona?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Naomba kujuzwa kwa mtu aliyejifungua akapata tear 3rd degree baada ya muda mfupi nyuzi zikafumuka akarudishwa hospitali akafanyiwa perineal tear repair baadae kukawa kidonda kwa bibi kikatibiwa kwa muda wa zaidi ya miez 2 kikapona je mtu huyu anaweza pata mtoto mwingine kwa kujifungua kawaida na...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Tear third degree

    Unamaanisha mkandamizano wa namna gani?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Tear third degree

    Naomba kujuzwa kwa mtu aliyejifungua akapata tear 3rd degree baada ya muda mfupi nyuzi zikafumuka akarudishwa hospitali akafanyiwa perineal tear repair baadae kukawa kidonda kwa bibi kikatibiwa kwa muda wa zaidi ya miez 2 kikapona. Je, mtu huyu anaweza pata mtoto mwingine kwa kujifungua kawaida...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mjamzito wa miezi Sita kuvusha wiki moja kwenye tarehe ya clinic aliyopangiwa kuna madhara?

    Ulivyoenda clinic hawaku fokea? Manes
  15. P

    JamiiForums Tanzania Mama mjamzito anatakiwa kwenda clinic mara ngapi kupata matokeo mazuri

    Asante kwa ufafanuzi my
Back
Top Bottom