Recent content by pam44

  1. P

    Application ya telegram ni nzuri kuliko whatsapp

    Mwenye channel za telegram za kibongo au east africa atume sanasana za tech..
  2. P

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Keegan-mahabuba mwenye nao naomba Keegan-njiwa peleka salam
  3. P

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mwenye wimbo wa kegan_mahabuba..na kegan_njiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. P

    Mh Rais sikia kilio cha vijana hawa wasomi waliojiajiri na kujenga kiwanda cha kuchenjua dhahabu

    Ok..nimekuelewa ila je mlishaonana na taasisi zezote zile za kifedha na uongoz wenu wa wilaya..
  5. P

    Mh Rais sikia kilio cha vijana hawa wasomi waliojiajiri na kujenga kiwanda cha kuchenjua dhahabu

    Ila nilikua nataka kujua mlengo wenu kwenye uchimbaji..je ni kama hawa wachimbaji wadogo wadogo tunaowajua wanachimba kwa local tools..
  6. P

    Mh Rais sikia kilio cha vijana hawa wasomi waliojiajiri na kujenga kiwanda cha kuchenjua dhahabu

    Kwanza kabisa hongereni sana..kwa vijana wasomi kuweza kujiajiri maana changamoto za ajira ni nyingi..vilevile polen kwa kulishiwa mashamba yenu..
Back
Top Bottom