Kumbe vyama kazi zao ni kushughulikia ndoa!!! nilikuwa sijui kama chadema ni mahakama ya mambo ya ndoa!!!! Nilidhani vyama vya siasa kazi zake ni majukwaani siyo nani kaoa nani, kazaa nani, kaoa mke wa ngapi, kaolewa na nani, kaoa wapi.
Kama hayo ndio maadili ya chama yanayozungumziwa ndani ya...