Recent content by Palita

  1. P

    Katibu mkuu wa ardhi ajiuzia v8 mil 5, limetengenezwa kwa mil 55

    Big Up Mkuu... Siku Magufuli akizirudisha nyumba za Serikali nitachukua kadi ya CCM. Hata gharama zikiwa kubwa kiasi gani, bado litakuwa ni jambo la maana.
  2. P

    Madudu ya Awamu ya nne, CCM iwaombe radhi watanzania-Gazeti la CITIZEN

    Watanzania wote tunatakiwa tubadilike kwanza... Mahaba aliyoyapata JK mwaka 2005 kutoka kwa Watanzania hayana kifani. Tuache kuridhika hovyo hovyo... Yamejirudia tena mwaka huu kwa Lowasa, kweli Lowasa na historia yake na na hali yake leo alikua ni mtu wa kupewa mahaba makubwa vile na Upinzani...
  3. P

    Lowassa: Nilishinda urais lakini CCM wakaupora ushindi wangu na dunia nzima inajua

    Watanzania Wazalendo tulikua nyuma ya JPM kwa nguvu zote... Hakukuwa na njia ya kupita kufika Ikulu. Tena kawasababisha Chadema wasipate wabunge wengi Kama ilivyokuwa inategemewa.
  4. P

    Neno la kejeli: Mliomtaka Lowassa mmesahau mlitaka kurudisha nini kwa taifa?

    LAANA IN DEED... Lakini imekula kwao, Watanzania tulio wengi hatuwasikilizi wala hatuwaelewi. Tupo bega kwa bega na Jembe letu Magufuli. Tunazidi kumuombea aendelee kuwafuta Tanzania.
  5. P

    Siri ya Kikwete TRA yaanikwa

    Kwa taarifa yako... CCM haijawahi kwenda Dodoma bila kumjua mgombea Urais wao.
  6. P

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Profesa Mwesiga Baregu Ahoji Bunge Kuchangiwa na Makampuni ya Umma

    Hana hadhi ya kujibiwa kwa hoja. Labda Mbowe na Lowasa ndo wajibiwe kwa hoja coz wanajua wanachotaka.
  7. P

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Profesa Mwesiga Baregu Ahoji Bunge Kuchangiwa na Makampuni ya Umma

    Kabisa... Walishapoteza uhalali wa kuhoji chochote hata kama kina mashiko. Hatu waamini tena, wanafki wakubwa na wachumia tumbo.
  8. P

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Habari ndo hiyo... Magufuli ndio mambo yote.
  9. P

    Hitimisho la hotuba ya Rais Magufuli ni fundisho kwa UKAWA!

    By Mmawia: Inaelekea wangepata fursa ilizo nazo CCM wangechafuka zaidi ya CCM... Kukosa Credidility na Integrity kwa kiasi tulicho shuhudia ilhali wakiwa hawajishika madaraka ni dalili mbaya kuliko maelezo
  10. P

    Hitimisho la hotuba ya Rais Magufuli ni fundisho kwa UKAWA!

    Inaelekea wangepata fursa ilizo nazo CCM wangechafuka zaidi ya CCM... Kukosa Credidility na Integrity kwa kiasi tulicho shuhudia ilhali wakiwa hawajishika madaraka ni dalili mbaya kuliko maelezo
  11. P

    Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

    Njaa kuzidi ya CHADEMA ya kumkabidhi Lowasa Chama na kumtukana Dr. Slaa??? Acha unafki basi Mungu anakuona mpaka ndani ya moyo wako.
  12. P

    Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

    Sio Kamanda tu... Aliachiwa chama afanye afanyavyo ili aingie Ikulu. Kwa kutumia mbinu zote zilizopo duniani safi na chafu ilimradi aingie Ikulu. Kwa kutumia yeyote duniani bila kujali ni gaidi au binadamu wa kawaida afu leo mnasemaje??? Mmepoteza uhalili wa kusema chochote chenye mashiko...
  13. P

    Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

    Huyo Mbatia alojifanya msemaji wa Lowasa kapata wabunge wangapi??? Acheni unafki... Zito anajitambua.
Back
Top Bottom