Wapiga kelele hawa muheshiwa raisi wala hakuna haja ya kuwasweka ndani hawa wala vipi waache wapoge kelele mwishowe kimyaaaa. Kwani baada ya uchaguzi mambo yalikuwa je
Thibitisha mkuu usimtuhumu mkuu bila sababu . Alafu wewe unajiita sir wakati ni kilaza tu ulisoma pale iyunga technical na tunakufahamu vizuri tu wee endelea tu uwe na msimamo huohuo tu .
Habari wakuu majira haya tinavozunguza PR. Hasadi amenyenyuliwa na kuulizwa na muheshiwa raisi kuhusu kupotea kwa fedha za umma shilingi trillion 1.5 na amekana kwamba hakuna pesa iliyo potea na mwisho akamuuliza katibu wa hazina naye akagongelea msumali kwa kusema hazina iko salama kabisa. Je...
Mkuu kwa maoni yangu kitendo cha kuuanza kuwafukuza wabunge wa upinzani baada ya maagizo Yale kumetoa tafsiri mujarabu kwamba chombo chetu cha uwakilishi kinajipendekeza . lakini si hivyo ukiangalia mijadala mingi ya wabunge wetu bungeni hua haionyeshi afya kabusa kwenye kuisimamia serikali...
Wadau kuna kitu huwa kina nishangaza saanaa pale ninanapo waona viongozi wa kisiasa wakubwa wanapo ingia kanisani na walinzi wao sijui huwa wana maanisha nini ? Au pengine huwa ni hisia zangu tu?
1). Au mungu wanaye mwabudu huwa hana kinga ya kutosha dhidi yao .?
2). Au imani yao ni haba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.