Recent content by palauniaclaudia

  1. P

    JamiiForums jamii forum siwezi kukusahau maishani, kwa hili ulilonifanyia

    Habari Jf, mimi binafsi , pamoja na familia yangu tunashukuru sana ambavyo tumeweza kuelika kiasi kikubwa kupitia forums hii, kikubwa ambacho siwezi kikusahau , ni kipindi kile cha mauji ya mwagosi ambavyo nilishidwa kutoa sauti ilijitokeza ghafla, huku nikibaki na fedheheka mbele ya watu...
  2. P

    JamiiForums Matoke yangu yamezuiliwa, Taratibu Zikoje ili yafunguliwe?

    ok, ukiangalia necta, Wameainisha hivi: *E Results withheld, pending proof of candidates payments of requisite Examination fees. Hivyo nadhani yatakuwa yamezuliwa kwa sababu hiyo, japo ada nililipa
  3. P

    JamiiForums Matoke yangu yamezuiliwa, Taratibu Zikoje ili yafunguliwe?

    ameandikiwa hivi?, *E, mbele ya jina lake hala kwa juu kabisa kabisa kuna neno kama hili, withheld yaani , hayaonekani?< sijui ndio kuzuiliwa au sijui nisemeje?, nimechanganyikiwa.
  4. P

    JamiiForums Matoke yangu yamezuiliwa, Taratibu Zikoje ili yafunguliwe?

    Wana jf habari , Napenda kuelimishwa juu ya kufunguliwa matokeo yaliyozuiliwa, hatua zikoje pamoja na gharama zake? Nitashukuru.
  5. P

    JamiiForums Baraza la Maaskofu wa Pentekoste lakutana ghafla kuhoji kwanini halina mwakilishi Bunge la Katiba

    Mimi nawaunga mkono hawa PCT. Bora tusimamishe zoezi kwanza kuangalia wale waliopunjwa. Tuwashauru BAKWATA waungane na PCT katika hiyo shughuli ya kesho. Hebu angalia jinsi Waislam walivyowekwa pembeni: Uwiano wa kijinsia wanaume 101 wanawake 100 Wanawake NGO Wajumbe 13 Wakristo 12 Muislam...
Back
Top Bottom