Me nafikiri hii thread ingefungwa coz imekosa mashiko yakitaaluma ila inautangulizi wa dini na wasio na dini wadai kipi.
Tamko kama hilo la pentecoster lingetolewa na mashehe,hivi sasa wangekua sero ama wamekula risasi za mabega.
mtolewa wapi wewe, Yesu kuwa Yahudi lini, so Mungu Yahudi, Roho Takatifu Yahudi and Kondoo yote Yahudi? And yet Yahudi ya Israel haitaki watu Nyeusi inchini yao!kaka imeeandikwa wapi kuwa Yesu ni mzungu? mie pia nawachukia wazungu kwa sababu ya kutuonea sisi watu wa rangi nyingine, lakini sijawahi kusikia au kuona wakidai Yesu ni Mzungu. kwa taarifa yako Yesu ni Myahudi wa kabila la Yuda,wa ukoo wa Daudi! Jiwe kuu la pembeni,Simba wa Yuda, Alpha na Omega,Masiha wa Bwana,Mwanakondoo wa Mungu, Mwana mpendwa wa Mungu,Emmanuel,Mfalme wa wafalme,Mzaliwa wa kwanza wa Mungu!
mtolewa wapi wewe, Yesu kuwa Yahudi lini, so Mungu Yahudi, Roho Takatifu Yahudi and Kondoo yote Yahudi? And yet Yahudi ya Israel haitaki watu Nyeusi inchini yao!
Then Hitler hapana kosea chinja ile kondoo nyingi kule Germany. Sasa kondoo nyeusi why hapana chora Yesu rangi and sura Yahudi with a Slavic nose like Sharon or Netanyahu?
TAASISI ZA KIDINI- (WAJUMBE 20) | |
TANZANIA BARA (13) | |
1. Tamrina Manzi | 2. Olive Damian Luwena |
3. Shamim Khan | 4. Mchg. Ernest Kadiva |
5. Sheikh Hamid Masoud Jongo | 6. Askofu Mkuu (Mstaafu) Donald Leo Mtetemela |
7. Magdalena Songora | 8. Hamisi Ally Togwa |
9. Askofu Amos J. Muhagachi | 10. Easter Msambazi |
11. Mussa Yusuf Kundecha | 12. Respa Adam Miguma |
13. Prof. Costa Ricky Mahalu | |
TANZANIA ZANZIBAR (7) | |
1. Sheikh Thabit Nouman Jongo | 2. Suzana Peter Kunambi |
3. Sheikh Nassoro Mohammed Ibrahimu | 4. Fatma Mohammed Hassan |
5. Louis Majaliwa | 6. Yasmin Yusufali E. H alloo |
7. Thuwein Issa Thuwein mko sahihi kamaeni mpate haki yeni |
Ungesoma vizuri mada ungeona kuwa kuna ma ASKOFU binafsi 2. Sasa unashindwa kuona umuhimu wa uwakilishi i wa kundi la watu milioni 10 unateua private bishops ambao hawawakilishi taasisi yeyote, wastaafu wa CCT. WEWE NA YULE ALIYETEUA MNA AKILI SAWA
TAASISI ZA KIDINI- (WAJUMBE 20) | |
TANZANIA BARA (13) | |
1. Tamrina Manzi | 2. Olive Damian Luwena |
3. Shamim Khan | 4. Mchg. Ernest Kadiva |
5. Sheikh Hamid Masoud Jongo | 6. Askofu Mkuu (Mstaafu) Donald Leo Mtetemela |
7. Magdalena Songora | 8. Hamisi Ally Togwa |
9. Askofu Amos J. Muhagachi | 10. Easter Msambazi |
11. Mussa Yusuf Kundecha | 12. Respa Adam Miguma |
13. Prof. Costa Ricky Mahalu | |
TANZANIA ZANZIBAR (7) | |
1. Sheikh Thabit Nouman Jongo | 2. Suzana Peter Kunambi |
3. Sheikh Nassoro Mohammed Ibrahimu | 4. Fatma Mohammed Hassan |
5. Louis Majaliwa | 6. Yasmin Yusufali E. H alloo |
7. Thuwein Issa Thuwein PENTEKOSTE WALIA KUBAGULIWA BAADHI ya taasisi za kidini, wanaharakati na watu binafsi, wamepinga vikali uteuzi uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, huku Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania (PCT) likidai kubaguliwa na serikali kwa miongo miwili.Kwamba badala ya uteuzi huo kuzingatia uwakilishi wa makundi stahiki, umefanyika ujanja wa baadhi ya wanasiasa kujipenyeza katika makundi wasiyostahili pamoja na ndugu zao kisha wakateuliwa kuwa wajumbe.Kwa mtazamo huo, Bunge Maalumu la Katiba linatazamwa kuwa limetawaliwa na undugu wa kisiasa badala ya kuzingatia utaratibu na sheria zilizowekwa katika utezi wa wajumbe kupitia makundi. Kwa mujibu wa taarifa yao kwa vyombo vya habari jana, PCT imedai kuwa majina waliyopeleka hayakuchaguliwa kuingia Bunge Maalumu la Katiba.Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa PCT, David Batenzi, alisema ni kwa miongo miwili sasa wamekuwa wakibaguliwa na kutengwa.Alisema kuwa wanaishangaa Serikali ya CCM kuendeleza mfumo dini ambao imekuwa ikifanya ubaguzi wa makusudi kwa baadhi ya makundi ya dini. Batenzi alisema mfumo huo umekuwa ukikumbatia makundi mengine ya kidini hali ambayo imesababisha wengine kupokwa haki zao za msingi wanazostahili kupewa na serikali.Alisema utafiti uliofanywa hivi karibuni unaonyesha hali ya udini, usiasa na ukabila imeendelea kujitokeza katika nchi, hususani unapofika wakati wa kuamua masuala yenye manufaa ya taifa katika vizazi vijavyo."PCT inaundwa na maaskofu wakuu wa madhehebu ya Kipentekoste yapatayo 75, ili waongoze na kusimamia misingi ya imani ya Kipentekoste kwa waumini wake wapatao milioni 10 Tanzania bara na Visiwani," alisema.Alisema hii si mara ya kwanza kwa serikali kupuuza mapendekezo yao, kwani imekuwa ikiwabagua na kuwatenga kila yanapojitokeza masuala yanayohusu uwakilishi wa kidini katika taifa."Leo hii tunajitokeza hadharani ili kutetea haki yetu ya kikatiba kwani tunaamini haki huinua taifa na dhambi ni aibu ya watu wote, ubaguzi umeendelea kwa miongo miwili sasa, tumekuwa hatuhusishwi. "Katika sherehe za kitaifa, katika maombi na dua wakati rais mteule anapoapishwa, kunyimwa fursa ya kushiriki kutoa mahubiri na mafundisho katika runinga na radio za kitaifa kama taasisi nyingine," alisema.Aliongeza kuwa wameshangazwa na serikali kuwaona hawafai, hawana sifa za kuweza kuchaguliwa katika Bunge Maalumu la Katiba na kuteua taasisi nyingine za kidini zenye hadhi kama yao."Ikiwa serikali itang'ang'ania msimamo wake wa kutaka wajumbe wa PCT wasihusike katika Bunge hilo tutaitisha mkutano mkuu wa dharura ili kutafakari hatma ya kutengwa kwetu na kuchukua hatua," alisema Batenzi. Naye Mchungaji wa Kanisa la Penuel Hill Ministry, Alphonce Temba, alisema kuwa kilichofanyika katika uteuzi huo kinaweza kutafsiriwa kwamba ilikuwa ni wanasiasa kujazana ili kuteka mchakato."Hivi hili litakuwa Bunge la namna gani ambalo unakuta mtoto na mama au baba yake, mtu na kaka au dada yake wote wamekuwa wajumbe wa Bunge maalumu. Wananchi wengine wameachwa wapi? Mchungaji Temba alisema kuwa ushauri wa aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Prof. Mwesigwa Baregu unapaswa kufanyiwa kazi kwa kuyarudisha majina kwa wananchi ili wachague.Alisema uwakilishi wa viongozi wa dini haujatendewa haki na wengine wameachwa ambao wangesaidia katika uchambuzi wa rasimu hiyo ya katiba. Wakati huo huo, wanaharakati wa masuala ya kijinsia, haki za binadamu, demokrasia na utawala bora, wamedai kuwa mchakato wa uteuzi umekuwa na upungufu na sura tofauti kama ilivyokuwa katika kipindi cha kujadili Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba 2013.Taaarifa ya Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGP), Lilian Liundi kwa vyombo vya habari, ilisema kuwa wamefuatilia kwa makini mchakato huu wakiwa pamoja na wenzao wa mashirika mengine ya kiraia. Alisema kuwa walipendekeza majina ya wataalamu wa masuala ya kijinsia na haki za binadamu ambao wangeweza kutoa uchambuzi wa kina na kushiriki kutetea baadhi ya vifungu vya rasimu ambavyo vinabeba sauti za wananchi kwa mustakabali wa taifa letu, lakini hawakuteuliwa.Alisema kuwa kukosekana kwa ushiriki mpana wa uwakilishi wa makundi halisi yaliyoko pembezoni na kuchomeka majina ya watu wasiostahili kwenye nafasi za makundi mengine kutasababisha upungufu mkubwa wa uwakilishi katika mchakato huu. "Tumesikitishwa na kuingizwa kwa majina ya wanasiasa kwenye kundi la NGO na kuwaacha wawakilishi wa asasi za kiraia wakati wanasiasa walikuwa na uwakilishi mkubwa kwenye kundi lao la watu 40."Aidha kundi la watu wenye mlengo unaofanana nalo hatukupewea tafsiri halisi kuwa ni watu kutoka kundi gani au ni kina nani, badala yake wameingia wanasiasa na kulifanya Bunge hili la katiba kuwa na wanasiasa wengi zaidi ya makundi mengine," alisema. Alisisitiza kuwa wanaendelea kudai usawa wa kijinsia katika mchakato huu kwani msingi wa kijinsia haujazingatiwa kama vile Itifaki ya Maputo, AU Constituent Act, AU Shared Values na CEDAW na Mkataba wa Watoto (CRC) inavyotamka. |
Mwambie Kikwete akumbuke yaliyomkuta HerodeMh,wanamtisha jk?!!.
Wamwulize mgaya
unajua yanachanganya sijui Tec,tcc,pac,sasa kama siokati yao unaweza kupitiwa.Rais na wasaidizi wake nae ni Binadamu inawezekana akuona kama kuna mtu anafaa kuligana na sheria inavyotamka na pia inawezekana walisahau au wakati wanateua walijua nae atakuwa kati ya hao aliowateua.
herode tena kafanyaje?Mwambie Kikwete akumbuke yaliyomkuta Herode