Recent content by Paka Msee

  1. P

    Graduates from UDSM tunaua nchi

    Enzi zao hao mafisadi chuo kilikuwa ni kmoja tu.. UDSM!
  2. P

    Nitamfundisha qt shy land

    We nae umechoka kitaaluma maana maswali yako yote yamechoka ka wewe! Hayo maswal ka vp yapeleke pale bungeni sio hapa!
  3. P

    NACTE wanasajili vyuo vinavyo-offer degree au tumeibiwa?

    Umeshaumia mbona! Nacte wanadili na vyuo vya certfcate na diploma tu! Degrees ni Tcu
  4. P

    IFM Admission office/secretary nani kawaroga?

    Atakuwa hana mtoto wala bwana, mara nyingi hao ndio wanakuwa na-tabia kama hizo!
  5. P

    Msaada kuhusu vyuo vinavyotoa elimu ya awali

    Njoo 'Kindcare' kiko hapa Dsm mitaa ya Ubungo karibu na Udsm.
  6. P

    St. John University kuna mgomo

    Wewe mbona mgumu wa kuelewa. 'maanake ni chuo kutokuwa na utaratibu maalumu'
  7. P

    Mwalimu wa kufundisha 'Tuition Centre' anatafutwa

    Shukran kwnza kwa wana JF. Mwalimu wa kufndisha kwenye kituo cha 'tuition' anatafutwa. Tuko Tegeta 0712661506
  8. P

    Mikopo kwa diploma maalumu UDOM

    Dah!.. ka vp pigeni chini muendelee na ishu zenu street bhana! Maanake c wnawazngua?
  9. P

    Mikopo kwa diploma maalumu UDOM

    Dah!.. ka vp pigeni chini muendelee na ishu yenu street bhana! Maanake c wnawazngua?
  10. P

    Yupi yuko sahihi wana jamvi

    Hapana ni Zitto bhana ndio ako sawa!
  11. P

    Masters degrees za Mzumbe University zinaua ubora wa elimu

    Asante sana mkuu nimekuelewa sana, maana hata mimi mwenyew nlkuwa sifaham kwa kina mambo hayo!
  12. P

    Wataalamu wa mathematics msaada

    Hahahaaa.. we ni mkali jombaa!
  13. P

    Wasimamizi wa mitihani ya NECTA kuweni makini Civics imevuja

    Kwaan siku hizi kuna cha weledi basi? Yote ndio yaleyale, we waache madogo wafanye vitu vyao bhana!
  14. P

    Ordinary level vs Advanced level

    Dah!.. heb token hapa msitak kunkmbushia zile adha za kupga msuli mkubwa ka vile unagombana na tembo babake.. sitasahau!
Back
Top Bottom