Recent content by Pajeromashine

  1. Pajeromashine

    Msaada wa mawazo yakinifu kuhusu hili ndugu zangu

    Hapana kaka coz i know kuna watu humu ndani wanazijua akil zao wenyw
  2. Pajeromashine

    Msaada wa mawazo yakinifu kuhusu hili ndugu zangu

    Napenda kuishukuru JF kwa kunipatia kazi mpya. Sasa mwenzenu nilikua na kazi ambayo nilishaichoka, kiasi chakuanza tafta zingne. Nilifanya maombi mbalimbali ya kazi na kufanya usail mara nne yaani mbili za utumishi, na ingine ya uhamiaji ambazo zilikua na ushindani mkubwa. Namshukuru mungu...
  3. Pajeromashine

    Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

    I have a suspicious feelings that ze market is purposeful burned down to move the bussiness people to the complex building...Ilala municipality can be responsible in this because if they are not involved why fire emergenc didnt respond quickly until the whole market is completly down. Why if one...
  4. Pajeromashine

    Nimeitwa interview utumishi

    Please dada happy we jikumbushie na vitu vya class tu itakusaidia..hope to see u there 😊
  5. Pajeromashine

    Interview uhamiaji ilikuaje?

    CHa kufanya ni kutafta namba ya simu kwenye gazeti na kumpigia yeyote ili atupe mwelekeo mzuri jaman
  6. Pajeromashine

    Call for oral interview- PSRS

    Waliofanya usaili jumamosi kule mwalim nyerere matokeo yameshatoka jaman
  7. Pajeromashine

    Bank ya Damu Salama

    Blood donor recruiters
  8. Pajeromashine

    Bank ya Damu Salama

    Habari wanaJf...naomba kuuliza hivi wale waliofanya usaili bank ya damu salama wameshaitwa kazini???kwa maana walisema wataita ndani ya week 2 ila hawakua specific na siku. Nawasilisha.
Back
Top Bottom