kupanga ni kuchagua--kama Taifa tunavyo vipaumbele kumbuka kila jambo lina wakati wake,,utafika wakati yote unayoyaona yanachelewa ..tutakuwa nayo na wakati huo ujao yataongelewa mengine.
jingalao - kuheshimu uhuru wa maamuzi ni jambo jema sana ila kumbuka put in ametuasa kama maandiko yalivyosema ni vema tukubali kuwa wamoto au wabaridi mana hata muuumba wetu haimpendezi kuwa vuguvugu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.