Recent content by Pagejawapagija

  1. Pagejawapagija

    JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu ananilaumu na kunitangaza kwa ndugu zangu kwamba nimekataa kumsomesha mtoto wangu!

    Baadhi ya wanawake wa zama hizi wendawazimu usipokuwa makini atakutoa ulimi,,,! Shikiria hapo hapo ao kachukue mwanao,
  2. Pagejawapagija

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Jirani na Mke/Mchepuko wake, Ulivyonigombanisha na Mke wangu

    Ulifanya Jambo la msingi Sana kutoenda na hiyo ndiyo busara,,,,Uzuri wa mtu ni kutoingilia yasiyomuhusu,ungekimbilia huwezi jua yangekukuta makubwa
  3. Pagejawapagija

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Jirani na Mke/Mchepuko wake, Ulivyonigombanisha na Mke wangu

    Mm nilimtoa jamaa police kapelekwa na mkewe baada ya wk nikakutana nao wameshikana mahaba mazito,, Toka hapo siingiliagi ugomv kabisa
  4. Pagejawapagija

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Senegal

    Hijja kwa waislamu iko moja tu dunia nzima Inapatikana Saudia...na itabaki hivyo mpaka qiyama Na uislam hauna fikra za mtu zitumike hakunga,, Kuvaa niqab ni dalili katika dini nawala si utamaduni wa Iran...
  5. Pagejawapagija

    JamiiForums Tanzania Aliyeolewa akaachika miaka 7 sasa imepita ila hakupewa talaka, Anataka nimuoe. Je, naweza kumuoa?

    Kiufupi hapo linatakiwa tamko tu la mwanaume wa mwanzo atoe talaka basi, Ao mwanamke afanye khulus(ajivue ndoa irejeshwe mahari yake ndoa iishe, Kama mwanaume atakataa basi nendeni kwa kadhi ataivunja ndoa hiyo....! Ila hapo kumuoa huwezi maana bado mke wa mtu hata akae miaka 15 jamaa akirudi...
  6. Pagejawapagija

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa...!!!

    Hahahahhahahhahahahhahahaha
  7. Pagejawapagija

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

    Ndyo maana ukaambiwa siyo kila mshikaj wakupeleka nyumban
  8. Pagejawapagija

    JamiiForums Tanzania Wanaume, ni bora ukakataa kuishi na mwanamke mwenye mtoto kabla kuliko kupretend kumbe haupendi

    Huyo mumeo wa kumsikitika tu yaani ameshindwa kuelewa huyo mwanao ni yatima, Kitendo cha kukaa hapo yeye ridhiki yake inaongezeka mara mbili kutokana analea mtoto ambaye baba yake alishafariki,, Pole sana
  9. Pagejawapagija

    JamiiForums Tanzania Nataka kuoa albino

    Hahahaha
  10. Pagejawapagija

    JamiiForums Tanzania Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

    Jirekebishe maisha hayo mabaya sana, Jamaa yangu alikufa wiki aligundulika kwa harufu tu na Nzi madirishani..
  11. Pagejawapagija

    JamiiForums Tanzania Rais Putin azilaumu nchi za Magharibi kuhusu vita Ukraine

    Hawezi kutegemea hayo ikiwa anajua wapinzan wake wako kibao
  12. Pagejawapagija

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mwanamke anamtawala Mwanaume?

    Sasa kama ndoa ni upumbuvu hiko kizazi kitaendeleaje? Je tuwe na watoto wa zinaa
  13. Pagejawapagija

    JamiiForums Tanzania Tupunguze kujenga Misikiti, hakuna Uislamu kama hakuna maendeleo ya waumini

    Ukweli mtupu,shida iko kwa viongozi waliopshika mpini elimu ziro na kijana anapoenda kusoma akarejea kujaribu kuleta mageuzi hapo ataonekana adui, Unaweza kuingia msikiti wenye miaka Mia hata hao waumini wanaofanya ibada humo zaidi ya miaka 20 hawajui kitu,
  14. Pagejawapagija

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  15. Pagejawapagija

    JamiiForums Tanzania Mnaopata wanaume wa kuwaoa, huwa mnafanyaje?

    Hahahhahahhahah
Back
Top Bottom