Recent content by PAFECT

  1. PAFECT

    TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    R. I. P Sent from my HUAWEI Y360-U61 using JamiiForums mobile app
  2. PAFECT

    MALENGO YA WANAFUNZI KUSOMA REMEDIAL !

    Naomba kuuliza wanajamiiforum ivi ule utaratibu wa wanafunzi wa shule za sekondari kurudi shule kusoma masomo ya Jioni ( Remedial ) , na kutiliwa mkazo sana na serikali za sasa,,, Ni kweli mpango huo unalenga kuwabana baadhi ya watu kusoma masomo ya dini (Madrasa).
  3. PAFECT

    Taasisi yataka Lowassa apitishwe kugombea urais

    Ni kweli kabisa wachague mwenye influence vingnevyo chama kitapotea na wengne hatutak kurudisha kadi..
  4. PAFECT

    Tempo#!!

    Hey friends mm ni mwalim wa English,Geography & History mwenye degree , kama kuna tempo mahari kwa walio dar tustuane kupitia 0712707564 Mkwanja maelewanoooo!!!!!!!
  5. PAFECT

    Shukrani

    Hizi ni shukrani zangu za dhati kwa marafki woote waliohusika kwa namna moja au nyingine kunisaidia katika harakati zangu za kujiunga na chuo,toka kipindi cha tcu, heslb na mpaka sasa 2nd year .asanteni sana na pia tuweni serious kwa wale ambao bado wanaleta utani sababu forum hii ni msaada...
  6. PAFECT

    shukrani za dhati.

    ni shukrani tuu kwa bodi, kwani imetenda vle niivyokuwa nikitarajia na sasa nimekua loan beneficiary so niseme asanteni sana japo manidai pesa zenu...
  7. PAFECT

    Msaada kwa anaejua

    Je kwa sisi amabao hatukua na mkopo last year lakini tukajikongoja kwenda chuo wenyewe, na mwaka huu tukaomba mkopo , majina au matokeo yetu yako wapi coz kila alieomba hajapata matokeo yake, msaada kwa aliebahatika kupata matokeo yake. Ahsanteni.
  8. PAFECT

    Kuhusu heslb.

    Ambae anajua link ya kupata majina ya wanafunzi waliopewa mkopo mwaka 2013/2014 atupie hapo basi tuyaoe wote. nyc tuesday.
  9. PAFECT

    Wale wa udsm

    usijar tupo.
  10. PAFECT

    I am looking for a temporaly job

    I AM PERFECT MBOGORUME, A STUDENT AT UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM , STUDYING B.A.ed SECOND YEAR , I WOULD LIKE TO HAVE AN ACCESS TO ANY TEMPORALY JOB THAT WILL SUIT MY CARRIER. MY ACTIVE E.MAIL IS mbogorumeperfect@yahoo.com WE MAY COMMUNICATE, IF POSSIBLE. THANK YOU....
  11. PAFECT

    Msimamo sifuri

    Ndugu zanguni huwa nakaa chini nafikiria kuhusu nini chanzo cha usaliti lakini mara zote huwa sipati jibu, upo mfano mmoja hai nilioshuhudia kupitia rafiki yangu kipenzi hapa chuo, jamaa alifanikiwa kumpata binti mmoja na kuingia nae ktk mahusiano kwa kutumia moja ya mitandao ya kijamii, yule...
Back
Top Bottom