Recent content by PADICIO

  1. P

    Maoni yenu kuhusu kozi ya Linguistic tafadhali

    Kwanza niseme tu kuwa hakuna kitu kigumu ila ugumu uko katka vichwa vyetu...pili Fanya kile unachoweza na kupenda kutoka moyon na sio kufuata mkumbo kwa Rafiki kwa sababu tunatofautiana uelewa,,lakn zaid sana zingatia uwezo na msingi wako wa awali na kama uko vizr ktk hayo usiogope,
  2. P

    Poleni Wanafunzi Mliokosa nafasi za kujiunga na vyuo vikuu 2017/2018

    Ukiwa na upeo huo wa kuwa kila aendae chuon lazma aajiliwe si kweli hizo ni fikra chakavu isipokuwa wasomi wa sasa wanaona kuwa na degree wamemaliza kila kitu na kwamba hawezi kufanya shughuli ndogondogo na kuona kana kwamba wamepigwa chapa usoni ...so jamii ya leo inatakiwa kuwa yenye fikra...
  3. P

    Tunatamba Elimu Bure; Mbona Watoto wetu Hawasomi Huko?

    Siku zote cha bure hakina thaman sana kama chakugharamiwa wewe juwa hivyo mkuu .na kama una mtoto komaa naye usijiachie et kisa elimu bure hiyo hakunaga.
  4. P

    Nimebaini: Ili kulinda heshima ya elimu yako usichangamane sana na wanasiasa

    Ulitumia nin kama cio politics kumpata mkeo ???
Back
Top Bottom