Recent content by pablo utopian

  1. P

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Haramu kwa Muislamu

    Hata shule yako ya elimu dunia inaonekana bdo mdogo,mtiririko wa maandish yako unaonyesha uwezo wa darasa la saba au form two failure miaka hiyo,,hata ukiwekewa hiyo aya cdhan km utaamin,rudi shule kwanza utaelewa mtiririko wa mawazo ya mtoa mada
  2. P

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Haramu kwa Muislamu

    Hivi duh mtu kama huyu huwa anajielewa kwel,watu wapo na dini yao we inakuuma,shida nn mzee,
  3. P

    JamiiForums Tanzania La Liga: FC Barcelona watwaa ubingwa bila kufungwa

    Kombe la mbuzi hilo,,njooni kwa wanaume eufa huku,katkija nilizozitoa kwenye ndoto za eufa ni pamoja na barca,yaani nyie nan psg hamna tofaut maana mnazungumzia laliga tu.madrid ni club barani ulaya mara mbili na anafukuzia mara ya tatu chini ya kocha mchezaji.jivunieni ndevu za mesi tu nje na...
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyeanzisha haka kamsemo ka ' Kijinga ' na ' Kipuuzi ' ajue anawaponza sana Wanawake wengi

    Lingine ni ivo ani,,huwa silipendi,huwa naacha kuchati
Back
Top Bottom