Recent content by p_nd_humphry

  1. p_nd_humphry

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi ya Madaktari Watarajali kwenda kwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu

    Sio zote. Na kwanini sio zote hilo swali anatakiwa kujibu MCT pekee
  2. p_nd_humphry

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi ya Madaktari Watarajali kwenda kwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu

    Hakuna aliekataa mtihani bwana kabunguru, rejea barua zote za madaktari hao. Wanachodai ni mitihani hiyo ina mapungufu kwa sababu walizoahinisha, hivyo ufanyiwe marekebisho vinginevyo wengi watakua wakifeli na huku performance yao ya internship ilikua very good. Punguza mihemko unapochangia mada...
  3. p_nd_humphry

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi ya Madaktari Watarajali kwenda kwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu

    Wewe endelea tu kukurupuka
  4. p_nd_humphry

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Madaktari zaidi ya 300 hatarini kupoteza nafasi kufuatia maamuzi ya Baraza la Madaktari

    Ndugu pole kwa huo mkasa lkn udaktari ni zaidi ya google. Waache madaktari wafanye kazi yao
  5. p_nd_humphry

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Madaktari zaidi ya 300 hatarini kupoteza nafasi kufuatia maamuzi ya Baraza la Madaktari

    Nakubali. Lakini ukweli ambao hausemwi ni kwamba mwanafunzi akifeli ni mwl kashindwa kumpa mbinu za kufaulu mwl ndio failure wa kwanza hapo. Lkn yanayotokea sasa ni kinyume mwanafunzi yupo competent kashafunzu miaka 6 ya darasani na vitendo. Kafuzu na mwaka wa internship chiniuangaliziwa...
  6. p_nd_humphry

    JamiiForums Tanzania Raia wa Tanzania nchini Marekani watuma ujumbe

    Sawa kabisa
Back
Top Bottom