Recent content by p. master

  1. P

    Maji yamefika shingoni, namuacha mke wangu

    Maji yameshanifika shingoni nataka kufanya maamuzi magumu namwacha mke, sababu moja, ameshakua na kiburi dharau mbili, chini sasahivi hakukaliki kama kachanjiwa. Nikitoka nyuma nae safari tatu, simu yake sasa hivi ipo busy kama ya customer care na zaidi sasa hivi ameiweka pin code na usiku...
  2. P

    Sichafuki kwa uongo, na uzushi kama huu ni wa kupuuza

    Asante baba pigania haki nchi ineemeke na raslimali zake
  3. P

    Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

    Pimbi was fikra we we NEC ya baba yako na wajomba zako na Shangazi zako
  4. P

    Rais Kikwete azuiliwa kuingia Denmark

    Anasafiri sana nae duu arudi nyumbani
Back
Top Bottom