Kama hawaja fata mashariti kiukweli wamekosea sio jambo jema kufanya hivo niukorofi unataka usikie watu watasema nn sio poa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuzote ukweli watu huwa hawaupendi hasa pale wanapokua wanajua ukweli alafu wanaficha kwa masilayi yao binafsi Africa lazima tujue sio kila msaada una faa kupokea vingine tuache kila magonjwa yanayo tutesa wa Africa tatizo kubwa ni wa2 weupe lazima tujifuze kwa maisha yaliyo pita mababuzetu...
Afraca tunahitaji viongozi wazarendo wenye uchungu na nchi yao tuachane na mabebelu hawajawahi kukubali ushauili wa mwafrika
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.