Recent content by MaweSaba

  1. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Moja ya uongo watu wanaodanganywa ni kwamba waliopo kwenye ndoa wanateseka jambo ambalo sio kweli

    Shetani ni mbaya sana, haijawahi tokea tajiri akawaambia maskini strategy ya kweli ya mafanikio Ndoa ni baraka kubwa, vijana walio kwenye zinaa wanajidanganya wenyewe ili wabaki kwenye shimo la anguko lao
  2. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Maeneo matatu yenye baridi zaidi Tanzania with facts

    Kama Karagwe, Bukoba na Ngara basi hii list ni ya Malawi
  3. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: Upinzani usimame kwenye heshima, Tumuamini Rais

    Hii serikali haiaminiki Uaminifu hauombwi, unathibitika
  4. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Mhubiri afukuzwa akiwa anahubiri Kariakoo, kwa madai ya kuleta usumbufu kwenye biashara

    Jina devi i.a mambo ya Juma... mahubiri yanawakera wale wasiopenda wokovu. Kuna wwngi wanampenda na wanamkubali jamaa pqle kariakoo
  5. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Mhubiri afukuzwa akiwa anahubiri Kariakoo, kwa madai ya kuleta usumbufu kwenye biashara

    Basi na WAISLAM wafukuzwe mitaani kwetu kwa kutupigia kelele saa kumi na moja asububi... si ndio? Hii haijkaa sawa
  6. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumwambia ukweli huyu shemeji yangu kuwa mtoto sio wake bila mgogoro?

    Kwa iyo angekua anatoo 200k hivi... ungemfikiria?
  7. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumwambia ukweli huyu shemeji yangu kuwa mtoto sio wake bila mgogoro?

    We We unamtaka huyo kaka? ... ila mWambie tu ukweli umuondolee presha ya uzeeni
  8. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania WCW: Thamani na Nguvu ya Mwanamke

    Hawa v iumbe wanakula raha sana kwenye haya maisha Wepesi na ugumu wa maisha wanachagua mwenza, mapato na mali zote wao ndio warithi wasiotengeneza hizo mali, kila anachopata baba kinaenda kwa mwanamke, yeye hutumia kujilemba, kujivalisha, kunenepa na bado hana sympathy kwa maumivu y mume. Ni...
  9. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Nitabadilisha majina ya mitaa, kata, maziwa yenye utata

    Habari wanauzi Kuna majina ya maeneo hapa bongo yenye maana za kushoto sana. Imagine Kariakoo pale kuna kasehemu kanaitwa GEREZANI Kahama kuna sehemu inaitwa KAGONGWA Buza kwa MPALANGE Ziwa Victoria, linapaswa kuitwa Ziwa Nyanza Bismark Rock litaitwa Nyanza Rock Oysterbay pataitwa kwa Bundala...
  10. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anachekesha kama si mtu wako wa karibu

    Natamani vyuo vyetu vya afya vichunguze watu design yako mna nini kichwani. Si kawaida kua kichwa wazi hivi, kheri roboti
  11. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Kipi kilikufanya uamini Mungu yupo au hayupo?

    Iyo big bang ilijitrngeneza yenyewe? Gravity ilijitengeneza yenyewe? Where did life come from?
  12. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Kipi kilikufanya uamini Mungu yupo au hayupo?

    KWa nini jua kina cycle ilioperfect ya mzunguko? Nani aliweka mipaka ya bahari kuzuia mafuriko? Nani aliumba mwezi wa kutuangazia mwanga usiku, nani alimpa ndege sauti akuimbie kukuamsha asubuhi? Nani alimfanya mtoto aishi majini tumboni mwa mama yake ila wkitoka hawezi ishi majini? MUngu...
  13. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Kipi kilikufanya uamini Mungu yupo au hayupo?

    Ni rahisi kuzungumzia ghadhabu au mabaya yanayotokea tukamlaumu Mungu, ni mangapi mazuri yanatokea na mara ngap unamshukuru Mungu? Wangapi wanapona kansa? Wangapi wanashinda vita kutoka kwa maadui wadhalimu? Wangapi wanaozaliwa na ukilema wanakuja fanya mambo makubwa ulimwenguni? Kuna mambo...
  14. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Kipi kilikufanya uamini Mungu yupo au hayupo?

    Kila kitu kina muda wake na wakati, kama Mungu amekusidia wawepo hapo basi anakitu anatimiza kwa mapenzi yake kupiti hao watu.. mfano: Mandela, Yusufu Ila kuna wengi wanatoka na wanashuhudia kuhusu uwepo Mungu. Nguvu zetu zikiisha, zake ndipo zinaanzia
  15. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Kipi kilikufanya uamini Mungu yupo au hayupo?

    Hapo ulipo, moyo wako unatumia umeme mkali sana kufanya moy wako udunde, kichwani kuna umeme mkubwa unasafirish taarifa kila dakika, kote ukizunguka mazingira yenyse tu yanakiri uwepo wa Mungu Wewe upo hapo, unataka kumtafsiri Mungu kwa namna unayoweza mtafsiri kana kwamba ni ka kitu...
Back
Top Bottom