Dalili za mwisho wa Dunia,Daktari badala ya kuwafikiria wanaokuja kuuguza wanatumia gharama kubwa kiasi gani? Kuna wengine wanauguza mgonjwa Hadi wanafilisika na bado mgonjwa anakufa,na wanabaki na Deni hospitali lakini bado mnaona hao watu walipe na hela ya maegesho ya magari,wajue kabisa...
Wafanyabiashara walikua na Slogan yao ili ufanye biashara zako bila usumbufu wowote,sharti uwe CCM na uwe karibu na Viongozi wa CCM,sijui Kama walishabadili mtazamo wao? [emoji848]
Wakuu wa Mikoa walikua wanaaminika Zamani,Sasa hivi wanaonekana Vituko tu hakuna kitu wanachoweza wakaongea kwenye jamii wakaaminika wanaonekana ni Chawa tu wakumsifia Rais ila hawana wanachoweza kuisaidia jamii.
Baada ya watu kuona Vita dhidi ya Ufisadi hata Zama za Rais Mzalendo na msemakweli bado zilikua Vita zinazochagua fisadi yupi wa kushughulikiwa na yupi wa kuachwa,hakuna Mtu mwenye akili timamu anayeamini Kama Ufisadi unaweza kuisha kila mmoja anautazama Ufisadi kwa engo yake.
Kwanini kila aliyewalawiti watoto wake anakuwa ametengana na mke wake? Je ni kweli Baba Mzazi anaweza kuwalawiti watoto wake watatu wa kuwazaa? Je Mke anakuaje shahidi wakati anakua ametengana na mume [emoji848]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.