Recent content by oxlade

  1. oxlade

    Ninunue simu gani kati ya hizi kwa bajeti yangu isiyozidi 600k?

    Samsung S10 plus na Samsung A23 ipi ya kuchukua maana gharama zake ni kama zinaendana.
  2. oxlade

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Kubadili taa kwa flat ya inch 42 ni bei gani?
  3. oxlade

    Azam TV king'amuzi sauti

    Naomba msaada jamani, TV yangu imeharibika speaker. Sasa nataka sauti itike katika Kingamuzi maana naona vina speaker. Je nifanyeje? Asante
  4. oxlade

    Msaada: Kuactivate iphone 4s isome mtandaob(line)

    Msaada jamani kuna simu tajwa hapo juu Iphone 4s nkiweka line za kibongo inahitaji kuactivate ili isome, nkiactivate kwa kutumia WIFI mwisjoni inasema SIM NOT SUPPORTED. Nifanyaje ili line ziweze kusoma? Nimejaribu line zote inasema hivyo. Miaka ya nyuma nliitumia hii simu line zilikuwa fresh tu
  5. oxlade

    Samsung A 02S Vs samsung A 12 Ipi ninunue?

    Chief vipi A30s ukicompare na hizo mbili
  6. oxlade

    Samsung A 02S Vs samsung A 12 Ipi ninunue?

    Kwahyo mkuu unashauri kati ya A21s na A12 nnaweza chukua moja wapo?
  7. oxlade

    Samsung A 02S Vs samsung A 12 Ipi ninunue?

    Niko addicted na brand ya samsung mkuu. Kwa bajeti hii ya 300 mpaka 450 samsung gani inafaa?
  8. oxlade

    Samsung A 02S Vs samsung A 12 Ipi ninunue?

    Salaam wadau, nataka chukua simu kati ya hizo mnili, ipi inafaa kwa matumizi ya kawaida? Au ni simu gani nyingine nichukue kwa bajeti inayoendana na hizo yaani 300-450k
  9. oxlade

    Msaada mafaili hayaonekani katika external HDD

    Sijafanikiwa kiongozi katika njia zote nkizopewa hapa
  10. oxlade

    Msaada mafaili hayaonekani katika external HDD

    Nilisahau, hili pia nimelifanya
  11. oxlade

    Msaada mafaili hayaonekani katika external HDD

    Niliweka external katika PC yenye virus, mafaili yakaliwa, baadae nilioscan na kaspersky yakarudi baadhi tu tena yamekaa katika file moja limeandikwa Trashes, kisha kukawa na file.lingine limeandikwa Recycle.bin. Sasa ukiangalia katika space unaona external iko vile vile.kama.mwanzo kabla...
  12. oxlade

    Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

    Mkuu naomba wimbo wa Mtoto Akililia Wembe Wa TOT plus
Back
Top Bottom