mkuu huo oxygene tafta jina vizuri
Mkuu Kuna Na Nyimbo Fulani Ya Zilipendwa Unahusu Mwanafunzi Jamaa Anataka Kuoa Ila Kanatoa Excuse Ya Bado Kanasoma
Sidhani Kama Nimeeleweka
Ahsante DJ umenikumbusha mbali.huuu hapa
Habar mkuuNimekuchagulia hizi za chuchu sound
Pamoja mkuu japo bado naangaika kuupataHahah huo wimbo unaitwa mapenzi na shule bila shaka, sijui dogo gani yule ila ulihit sana.
sikiliza hapo kama ndio wenyewe nitakupakulia af nikurushie hapa.Pamoja mkuu japo bado naangaika kuupata