Recent content by Oxiana

  1. Oxiana

    JamiiForums Je, wewe mwanaume unaweza kuuliwa na mbwa hawa wa kufungwa?

    Mkuu hivi unadhania kufa ni kitu kigumu? Ni Mungu anatulinda tu. In a second mbwa anakuondoa tu, inategemea na timing. Kama mate tu yakikupalia yanaweza kununua ije kuwa bulldog? So, inategemeana na na siku hiyo ulinzi wa Mungu wako ukoje.
  2. Oxiana

    JamiiForums Ombi la kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi

    Hello my dear sister, first of all accept my sincere congratulations. Wewe ni mtu, I can see from your writing. Uko vizuri. CV inajieleza kwa maandiko. Pambania ndoto zako na tunakuombea.
  3. Oxiana

    JamiiForums China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Hii thread pia inamsaada kwetu tunaofanya biashara zetu na wachina. Lugha hii ni muhimu sana. CHANGAMKIA HII, MWANAFUNZI, MFANYABIASHARA, MFANYAKAZI NA WENGINEO, NIMEIONA MAHALA INATUFAA SANA
Back
Top Bottom