Recent content by owigo

  1. O

    Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Dah kaka hilo jibu lako mwisho kabisa umeona nastahili kupewa? Nimetokea huko mwanzo nikafata link ya Download km alivyoeleza mtoa mada lkn sijafanikiwa so km kuuliza ni kudandia post nisamehewe bure kwa usumbufu
  2. O

    Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Application inaitwaje na nahipataje
  3. O

    Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Mm sijafanikiwa bado Msaada Mkuu
  4. O

    Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Sijafanikiwa mm Mkuu msaada tafadhali
  5. O

    Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Mbona nikibonyeza Download pale haidownload MSAADA PLEASE
  6. O

    Kulikuwa na sababu Magufuli kutoa amri kwa Mawaziri wake mbele ya Vyombo vya Habari?

    Ulieanzisha hii thred mm naona kama umekurupuka mno. Hii style ya uongozi ndio haswa tumekuwa tukiipigia kelele kwa miaka mingi hapa nchini kwetu sasa kwa bahati nzuri imekuja kwenye PRACTICE unaponda... Hii nchi ili ipige hatua hakuna kinachoitajika kwa kiwango kikubwa kama UWAZI. Mambo...
  7. O

    Madiwani wote wa CCM manispaa ya Tabora, leo wamehamia CHADEMA

    Bado sn just waiting for more to happen
  8. O

    Kinana apata aibu Bukoba mjini baada ya CCM kukataliwa na wana Bukoba

    Tupe pichaaaaaa tupate raha ndugu
  9. O

    Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Waziri Mkuu aliejiuzulu Edward Lowassa amesafirisha wahariri wakuu wa vyombo vyote vya habari toka Dar es salaam na kufanya nao mkutano maalum leo nyumbani kwake mjini Dodoma. Katika mkutano huo kwa ufupi Lowassa amesema yafuatayo; 1. Amesema Hahusiki lolote na sakata la Richmond na ndio sababu...
  10. O

    Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Mm sipati picha sinema inayokuja kutokea katika siasa za nchi hii mwaka huu.
  11. O

Back
Top Bottom