Asante, na nimefurahi kwa mfano halisi uliotoa wa shemeji yako, hapa utajifunza kua bangi haina tatizo ila tabia za mtu ndio tatizo maana hili suala uliloliongelea hiyo tabia imeshamiri sana mitaani kwa sasa hivi na wengi wao hata hawatumii huu mmea, utaona hapo tatizo ni tabia ya mtu na sio ile...