Recent content by ournation

  1. O

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki Tanzania kwa Uwingi na Ushawishi wao wakiamua Samia na CCM yake ianguke Madarakani ni jambo la muda mfupi tu

    Watekaj/wavamiz na wote wanaoratibu vitendo vya uovu parapanda yao imewadia sala za wenye haki hufuka kama moshi wa ubani mbele ya macho ya Muumba.Tuendelee kumtumainia Mungu aliye hai wahusika watalia na kusag meno wla hapatakuw na wakuwasaidia.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hawezi kujinasua kukamatwa Heche na kuwekwa gerezani Tundu Lissu

    WaTz uoga umezid nilichogundua njaa inasababsh uhur usiwepo..yaaaan kkoo watu wanamtizam mtu anachukuliw na polic mzahmzah hamna ht kelel duuh
  3. O

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lisu Vs John Heche katika kuwasilisha hoja kwa wananchi

    Team Mboye mjipange kisaikolojia kaz sio nyepesi
  4. O

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa CHADEMA umedhihirisha Lissu ni Mwanaharakati Mbowe ni Mwanasiasa

    Mamluki yke yanajikeshesh hku kumpamba..yn akifany kosa la kujikuta chama ni yeye tu anafaa kuw chea asibinue domo kutak katiba wkt udikteta ameuvaa
  5. O

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa CHADEMA umedhihirisha Lissu ni Mwanaharakati Mbowe ni Mwanasiasa

    Muda wa siasa z kubembelezan umeisha...hyo mchaggawenu akishnda tn uenyekit hakun rangi mtaach ona...lisu ni aina ya mtu anayetakiw kwa zama hizi tantalil zngne hazihitajiki kbs
  6. O

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa CHADEMA umedhihirisha Lissu ni Mwanaharakati Mbowe ni Mwanasiasa

    Wajumbe mkifany kosa la kutomchagua Lissu mmeua lichama lenu.
  7. O

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

    Tatzo la kunyw baa zenye mabaunsa uchwara...ss hpo watu wanakimbia kimbia ovyo wanashndw ht kuamua ujinga mtupu...jamaa kaangushwa kama gunia alishndw ht kutumia silaa ya meno ptuuuh
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Joyce Kiria ni aina na mfano wa wanawake wa kuwakwepa kuwaoa

    5mil au mia tano tuanzie hpo....
  9. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta kampuni zinatoa internship Arusha

    Upo arusha sehem gn?!
  10. O

    JamiiForums Tanzania Kwani hamtaki watu wa kujitolea?

    Mkiitwa hata kabla ya interview mnaanza kuulizia maokoto badilikeni bla ivo mtasota kitaa sn
  11. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali, huku mtaani sio poa

    Hujasem upo mkoa gn na elimu yko
Back
Top Bottom