Wana Jamvi,
Pengine ninaweza nisieleweke kwa jambo hili muhimu ninalolisema hapa, pengine ninaweza nisieleweke hasa kwa wale wenzetu ambao ni vigumu sana kutumia kichwa kwa kufikiri. Hata hivyo, pamoja na kwamba wamezoea kutumia vichwa vyao kwa kufugia nywele, wana fursa ya kutoa maoni yao hivyo...
Wadau,
Wengi wanaweza wakadhani ni siasa, lakini ndiyo ukweli, kwamba Jeshi letu la polisi chini ya RPC, RCO wamekuwa wakitumia nafasi zao vibaya kinyume na wanavyotakiwa kuwa. Jeshi hili la polis limegeuka kuwa wajumbe waaminifu kwa CCM hasa Lowassa na Saiteru (Monaban) kwa kutekeleza...
Jeshi la polisi limeasi kwa kutumwa kuasi na Chama Cha Mapinduzi na serikali yake ili litumike kuwakandamiza wananchi wadai haki. Wabunge wa tiketi ya CCM wameasishwa na chama chao ili kuwafanya wananchi kuwa watumwa wao badala ya kuwa waajiri wa serikali.
Chama cha CCM na serikali yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.