Napende keza hawa watu wasiojulikana walio mteka na kumuumiza Roma mkatoliki
Ben Saanane
Walio mtolea bastola Nape Nnauye Na leo Wamemshambulia Mhe.Tundulisu Wakijuli kana
Wakabidhiwe kuhifadhiwa na watu wenge Hasira kali[emoji769]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utaolewa tena sio mda mrefu! Kwa7bu umeweka wazi lakini pia endelea kujitathimin huenda ukawa na vidosari japo wewe haukubali kuwa unavyo! Wenzio walishindwa kuolewa eti kwa vile walimiliki uchumi hivyo waoaji hawakupenda kudharilishwa wakagoma kuoa!
Sijuu hawa wanaounga mkono uchimbaji wa chini kwa chini wanajua kuna kesho? Nadhani ndg waziri aangalie upya swala hili sio la kupuuza! Kama nihivo basi mamlaka husika ingetutahadharisha kuwa kutatokea tetemeko ili tujiandae na kukabiliana na janga hili! Niitumie nafasi hii kuwapa pole ndg zangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.