Recent content by OTIATO

  1. O

    Waziri Mulugo aumbuliwa na Sugu

    Mimi nadhani tukiingia kwenye facts, wizara ya elimu haimfai huyu bwana. ukiangalia uwezo wake wa kujenga hoja na upeo wake wa mwono kwa wizara yenye wasomi na taasisi za elimu ya juu kama wizara ya elimu, anapwaya sana. kama ni muhimu katika chama basi apewa kazi nyingine.
  2. O

    Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    Ni watu ambao ukiwasikiliza vizuri, utagundua mara nyingi wanadhani yale wanayoyasema na kuyafikiri ndo sahihi, na shida yao kubwa ni kutopenda kujifunza.Nadhani waelimishwe kiundani nini maana ya neno historia.
  3. O

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    safi sana!
Back
Top Bottom