Recent content by Othman Qadir

  1. Othman Qadir

    JamiiForums Tanzania Ninunue gari ipi kwa safar ndefu

    45mill
  2. Othman Qadir

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Ushauri wa Bure kwa Rais Samia, achana na hii kesi Haina maslahi yoyote kwako, CCM, wala nchi!

    Kweli nimeamini kuwa SSH ni "CHURA KIZIWI"
  3. Othman Qadir

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri, Mpangaji wangu 'kaniblock'

    Pole sana mkuu. Mimi wapangaji wangu wakizingua tu kulipa kodi nampa notice ya siku saba awe tayari amenikabidhi funguo za nyumba, na pia nyumba aiache ikiwa na hali ya usafi kama siku anaingia. Pili bill ya maji ni shared kwa kila apartment block, hivyo ikitokea mpangaji anazingua tu kulipa...
  4. Othman Qadir

    JamiiForums Tanzania Looking for a beautiful Rwandese woman for marriage in Tanzania

    Asante sana, nasubiri hapa ili niweze kumaliza huu mwaka kwa kumpata mwanamke ambaye atakuwa mke wa maisha yangu hapa duniani
  5. Othman Qadir

    JamiiForums Tanzania Looking for a beautiful Rwandese woman for marriage in Tanzania

    Dear fellow Rwandese woman, I am looking for a woman with a good heart to bond together by establishing a very good family together. I am Tanzanian, government employee, 38 years old, Christian - roman Catholic, graduate from University (Tz and Europe) looking for a beautiful Rwandese woman who...
  6. Othman Qadir

    JamiiForums Tanzania Moyo mpweke - nahitaji mke wangu wa maisha

    Ukuje basi pm mke wangu mtarajiwa tunachelewesha watoto wetu shule
  7. Othman Qadir

    JamiiForums Tanzania Moyo mpweke - nahitaji mke wangu wa maisha

    Ni kweli kabisaa usemayo. Nipo zaidi ya serious! Yaani namaanisha toka moyoni mwangu kuwa nahitaji mwanamke wa kujenga familia bora pamoja ambaye naye toka moyoni mwake pia ana uhitaji na anataka aheshimike kuwa Mrs somebody. Hivyo niseme tu 'karibu kwa mwanamke mwenye uhitaji " tufanye maisha...
  8. Othman Qadir

    JamiiForums Tanzania Moyo mpweke - nahitaji mke wangu wa maisha

    Sina uwoga lakini nahitaji kupata mwanamke mwenye uhitaji wa mume na nadhani hata hapa jukwaani wapo au kuna ndugu na marafiki ambao wana uhitaji kama wangu.
  9. Othman Qadir

    JamiiForums Tanzania Moyo mpweke - nahitaji mke wangu wa maisha

    Nitafurahi sana nikifanikiwa kupata mwenye uhitaji wa kweli
  10. Othman Qadir

    JamiiForums Tanzania Moyo mpweke - nahitaji mke wangu wa maisha

    Huyo simfahamu lakini kama kweli yupo na ana uhitaji wa mume wa kufanya nae maisha pamoja hakuna tatizo lolote, unaweza tu ukamkaribisha na tukiridhiana basi itakuwa HERI.
  11. Othman Qadir

    JamiiForums Tanzania Moyo mpweke - nahitaji mke wangu wa maisha

    Habari ndugu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni mpweke na nipo singo, natafuta mwanamke ambaye atanipa faraja moyoni kwa kuishi maisha ya kumpendeza Mungu. Nina uhitaji wa mwanamke ambaye atakuwa mstari wa mbele kushirikiana nami kwa maisha ya familia ili kuleta furaha...
  12. Othman Qadir

    JamiiForums Tanzania Hello future Hubby

    Nina sifa za ziada, I mean zaidi ya uzitakazo wewe but nipo mkoani. Ikitokea umekosa huko mjini njoo kwangu
  13. Othman Qadir

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Waooo thank you so much. Ubarikiwe sana na KARIBU SANA
  14. Othman Qadir

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    So unakuwa mshenga ama middle man
  15. Othman Qadir

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    We ukuje bana acha maneno mambo mengine ni ya kuongea wahusika wawili kwa inbox ! So ukuje haraka nakusubiria
Back
Top Bottom