Recent content by oswinwilliam

  1. O

    JamiiForums Tanzania Mazingaombwe matokeo Darasa la Saba

    BRN semina siku moja kwa saba waliohudhuria sio walimu wa masomo shiiiiiii!! ulipo shika shikilia ukiachia tu atashika mwingine.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Msaada: Salary slip ya 1995 inahitajika kufatilia mafao

    anazinagua uyo mbona watu wanastafu wanakula chao mapema tatizo lipo kwa halmashauri aliyokua anafanyia kazi taarifa zake zingine watakua awajapeleka ao mana watu wanahila sana aisee.
  3. O

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo Singida Iramba Mukulu Sekondari nije Kilolo,Njombe,Mbeya,Morogoro ni PM au 0756578315
  4. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza ajira kwa walimu waliomaliza mwaka 2015 kutangazwa lin?

    mwakani mwez wa kumi wakijiskia kwa sasa lima njegele na fuga kuku
  5. O

    JamiiForums Tanzania Waalimu waliosoma arts!

    tumeshaajiliwa tunakula mshahara teh! teh! teh! kusoma raha japo tupo kijijini
  6. O

    JamiiForums Tanzania Ajira kwa walimu kabla ya uchaguzi?

    mkiajiliwa mwezi wa kumi supu mtakunywa lini uku adi uwe na cheti ndo unapata salary kunywen sup kwanza
  7. O

    JamiiForums Tanzania Wewe mtoto wa mtangaza nia utaniua bure

    Ujui atakubabuseya we kaza ila jua nawe utakazwa jela
  8. O

    JamiiForums Tanzania Hatima ya wanafunzi wa Kozi za Afya KIU kujulikana wiki mbili zijazo

    poleni sana wasomi wa kampala mambo yatajipa tu ndugu
  9. O

    JamiiForums Tanzania Walimu ajira mpya waliokosa mshahara wa mwezi huu

    na bado mshahara wa mwezi5 sizani kama tutapata maana mm ngoja tuone
  10. O

    JamiiForums Tanzania Wilayani Mbozi, Waalimu wachangishwa Tsh 3000/= ya mafuta ya Mwenge

    ukichangia utakua ujitambui akuna sheria itakayokufunga usipochangia halmashauri itoe hela ya mwenge waache wizi
  11. O

    JamiiForums Tanzania Walimu ajira mpya waliokosa mshahara wa mwezi huu

    wanadai ajira ngumu TZ we uoni ccm nafasi moja ya uraisi inagombewa na watu zaid ya 30 na mwezi uu pakavu awa watu awafa
  12. O

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya nyumba kwa walimu (watumishi)

    ukiwaskiliza sana ao watu utashindwa kufanya mambo ya msingi maana wengi awajitambui kifikra.
  13. O

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Mji Kibaha kwa ufisadi inaongoza

    pesa wamekula ila walimu bado sana kwa nini msingegoma kusimamia na kusahihisha? tatizo mna njaa sana hongera DEO.
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume atakaenioa kwa ndoa ya kanisani

    umeacha sifa moja we ni bikra au kama so bikra una afya nzuri au ulizaliwa nao shape na pesa so ishu afya ndo kila kitu
  15. O

    JamiiForums Tanzania Walimu ajira mpya waliokosa mshahara wa mwezi huu

    ila mwaka uu nahisi watapata dabo mwezi uu wachache maana serikali aijitambui tutamdai rais ajaye maamuzi magumu yanatak
Back
Top Bottom