Recent content by Osea lenes

  1. Osea lenes

    Naweza kusoma Udereva kwa Leseni hii

    Naomba muongozo kidigo kama unafahamu, nifanyaje, maana nimeshalipa ada wakanambia et nina leseni kubwa kwahy sheria haziwaruhusu mm kusoma basic driving
  2. Osea lenes

    Natafuta gari la Uba/Bolt

    Mkuu sijapata aisee
  3. Osea lenes

    Naweza kusoma Udereva kwa Leseni hii

    Naomba kuuliza. Kwa mtu mwenye leseni class c1, c2, c3 ambayo aliinunua yaani hana cheti cha veta, je akihitaji kwenda kusoma kozi ya basic driving ili apate cheti anaruhusiwa???
  4. Osea lenes

    Natafuta gari la Uba/Bolt

    Niko serious kaka
  5. Osea lenes

    MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

    Samahanini ndugu zangu, mimi ni kijana mwenzenu nina miaka 24, elimu yangu ni kidato cha sita, natafuta boss anokabidhi gar kwa ajiri ya biashara ya uber/bolt Namba yangu ni hii 0693010116
  6. Osea lenes

    Natafuta gari la Uba/Bolt

    Habari ndugu, nina miaka 24, elimu yangu kidato cha sita, pia ni dereva nina leseni inamadaraja yote isipokua c kavu, nahitaj mwenye kujua boss au connection gar la uber/bolt naombeni msaada wanu. Namba yangu ni hii 0693010116
Back
Top Bottom