Recent content by Oscas Po

  1. Oscas Po

    Wahindi wanamiliki uchumi wa Tanzania kwa asilimia 90% kwa sababu zipi??

    Ni wafanya biashara wakubwa na wanamiliki kampuni nyingi nchini nafikiri ndio sababu kubwa ya uvumi huo
  2. Oscas Po

    Mashamba yanauzwa Chanika

    Sipo katika mchakato wowote wa kununua ardhi so hawezi nitapeli
  3. Oscas Po

    Mashamba yanauzwa Chanika

    Hongera sana
  4. Oscas Po

    Mashamba yanauzwa Chanika

    Kasema bends hat a name polis wakati was kununua
  5. Oscas Po

    Mashamba yanauzwa Chanika

    Poa umesomeka
  6. Oscas Po

    Mashamba yanauzwa Chanika

    Kinachotakiwa wakati wa kuuza kuwe na mashahidi tu
  7. Oscas Po

    Mashamba yanauzwa Chanika

    Ungeweka picha ya eneo halo ingekuwa vizuri sana
  8. Oscas Po

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Hongera kwa maelezo yako mazuri ya mavuno ya ufuta, nimevutiwa sana na kilimo cha ufuta kama itawezekana kupata mawasiliano yako ili kupata mafunzo zaidi kuhusu kilimo cha ufuta ningefurahi. Asante
  9. Oscas Po

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    kama tanganyika na zanzibar waliungana maana yake walikubaliana kuwa kitu kimoja so serikali inabidi iwe moja.
  10. Oscas Po

    Bei ya mpunga

    asante sana
  11. Oscas Po

    Bei ya mpunga

    asante
  12. Oscas Po

    Bei ya mpunga

    kwa gunia lolote yaani bei kwa ujumla ndo nahitaji
  13. Oscas Po

    Bei ya mpunga

    kwa wakazi wa ifakara morogoro naomba kujua bei ya mpunga kwa sasa maeneo hayo
Back
Top Bottom