Recent content by Oscar Escano

  1. Oscar Escano

    Joyce Kiria: Migogoro ndani ya familia inayosababisha mateso kwa wanawake inaletwa na CCM

    Umenichekesha sana! Umenikumbusha kisa cha Malkia au Mfalme mmoja wa Uingereza ambaye alipo ambiwa kuwa watu wana njaa na hawawezi kununua mkate, yeye akawajibu, kwanini wasile keki?
  2. Oscar Escano

    Mitambo ya sauti mikutano ya CHADEMA na ITV inaboa

    Je una uhakika? Tusiwe wasahaulifu kwanini tusahau yale majigambo kuwa kuna mitambo ilinunuliwa, kama miaka minne yenye uwezo wa kuvuruga mawasialiano yoyote? Tusiwe wasahaulifu!
  3. Oscar Escano

    Vingunguti: Murzah Oil wamwaga mafuta barabarani

    Ahsante Mleta mada. Taarifa yako hii inatosha kuepusha vifo vingi sana. Upate baraka za Mwenyezi Mungu.
  4. Oscar Escano

    Vingunguti: Murzah Oil wamwaga mafuta barabarani

    Ufungwe jiwe zito shingoni utumbukizwe baharini. Mtu analeta habari nzuri kiasi hiki unajibu matapishi? Watu kama ninyi ndo wa kupewa 'ban kabisa. Hivi ma 'mod wa JF badi mko usingizini?
  5. Oscar Escano

    Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

    CCM Must go! TUMECHOKA..!
  6. Oscar Escano

    Sitasoma tena gazeti la Mawio

    CCM must go. TUMECHOKA!
  7. Oscar Escano

    CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    Achia watoto wako waendane na mabadiliko. Wazee kama wewe hawakubali mabadiliko. CCM Must go. TUMECHOKA.
  8. Oscar Escano

    CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    Kuna msemo humu ndani unasema "....You can't fool all the people all the time". Tupishe na stori zako hizo. CCM imekuwa madarakani kwa kipindi gani? Wamefanya nini? Wajerumani walitutawala kwa kipindi kifupi mno! Mpaka sasa hivi tunaona investement walizowekeza. Ukoloni wa CCM ni mbaya...
  9. Oscar Escano

    Yericko Nyerere live Mlimani TV, aizungumzia JF na Sheria ya Mitandao

    wewe ni mwongo. toshiba laptop nyeupe zilizokuwa na windows 3.1 zilitoka lini?
  10. Oscar Escano

    CHADEMA vunjeni UKAWA

    Sayansi ya siasa au Political Science ndiyo muanzisha uzi anafanya. Kutaka kujenga mazingira yote kuonyesha kuwa Kuna mtafaruku au aanzishe mtafaruku. UKAWA imejipanga hachonganishiki mtu. Lengo kuu la UKAWA ni kuwaondoa wakoloni hawa weusi.
  11. Oscar Escano

    Mfumo wa kurusha ndege kwa computer sasa ni hatari sana kwa kuanguka kwa ndege

    Duh. hizo information kuhusu mbayuwayu umezitoa wapi? Na hizo pitot huwa ziko ngapi? zote ziingiwe na mbayuwayu? Na ile concept ya super cooled liquid imetupiliwa wapi ambayo ndo wataalamu walikuwa wanailalamikia?
  12. Oscar Escano

    BOT na Kashfa ya kuuzwa kwa sarafu ya mia tano /Tsh 500

    Ngoja muibiwe!. wote mliomo humu mnakumbuka ya shilingi moja ya mwinyi na shilingi tano iliyokuwa ina picha ya benki kuu? Jamani Fanyeni kazi muache ndoto za alinecha
  13. Oscar Escano

    Global survey has named Rwanda as the best place to live in Africa

    Kudos. Nakukubali. Bahati mbaya wengi wanaokujibu wana chuki na wivu wanaposikia hayo.
  14. Oscar Escano

    Global survey has named Rwanda as the best place to live in Africa

    Kwa hakika wewe ni Great Thinker.
Back
Top Bottom