Joyce Kiria: Migogoro ndani ya familia inayosababisha mateso kwa wanawake inaletwa na CCM

Hijja Madava

JF-Expert Member
May 14, 2014
3,302
1,936
Akihutubia katika mkutano wa mgombea wa UKAWA Mh. Lowassa

Mwanaharakati wa haki za wanawake na watoto na mtangazaji wa kipindi cha wanawake live cha EATV amesema kuwa CCM imesababisha hali ngumu ya familia zetu
 
Penye uchumi/hela nzuri kila mwanamkee (naongelea upande wetu wanawake) ni mtulivu na msikivu kwa mumewe kwa kuwa hamna mambo ya gubu.

Penye maisha magumu wanaume hujaa gubu na kila afanacho mwanamkee mwanaume hutafsiri dharau.

Yaani hata ukichelewa kwa foleni za barabara za magufuli hueleweki, maji ndio siku tatu kulala bila kuoga kwa kuwa hayatoki sasa hapo nani atamgusa mwenzie.Ugumu wote huu unaletwa na mipango mibovu ya CCM.
 
Yeye kakalia uchumi mbona hatusemi, wakati anaugawa kama peremende ilikuwa burudani sana,
 
lakini inahitaji jicho la tatu hili swala kama ww mfinyu huwezi kumuelewa joyce hata iweje
 
Matatizo yoote yanaletwa na CCM nakubaliana naye. Hebu fikiria mimi ni kinyozi, umeme unakatika saa 12 alfajiri na kurudi saa nne usiku leo karibu wiki sijaingiza pesa yoyote. Mke anataka kunikimbia. Huo mgogoro atakuwa ameusababisha nani kama siyo Ccm? Mtoa mada tafakari kisha chukua hatua. Ccm ni janga la kitaifa.
 
matatizo yoote yanaletwa na ccm nakubaliana naye. Hebu fikiria mimi ni kinyozi, umeme unakatika saa 12 alfajiri na kurudi saa nne usiku leo karibu wiki sijaingiza pesa yoyote. Mke anataka kunikimbia. Huo mgogoro atakuwa ameusababisha nani kama siyo ccm? Mtoa mada tafakari kisha chukua hatua. Ccm ni janga la kitaifa.

tafuta jenereta acha uvivu.
 
Mumewe ameng'ang'ania jimbo ambalo kimkakati walishakubaliana litagombewa na mgombea kutoka NCCR, angemshauri 'baby' aache tamaa ya madaraka kwanza kabla hajakinyooshea kidole cha kikongwe.
 
Nachokiona ni kwamba endapo itatokea chama cha upinzani kuchukua madaraka basi inawezakana ikaja kuonekana hicho chama nacho kinashindwa kufanya kazi kama inavyoonekana ccm sasa. Kwa sababu sasa imekuwa kila tatizo lawama zake zinaelekezwa kwa ccm,hivyo hicho chama kingine ndio kije kuwaridhisha wote hao maana watu wameweka matarajio makubwa kuliko uhalisia ktk hicho chama.
 
Akihutubia katika mkutano wa mgombea wa UKAWA Mh. Lowassa

Mwanaharakati wa haki za wanawake na watoto na mtangazaji wa kipindi cha wanawake live cha EATV amesema kuwa CCM imesababisha hali ngumu ya familia zetu

Sasa Joyce Kiria Baba watoto wake si Kiongozi wa Chadema - Unategemea aseme nini wakati huu wa uchaguzi??? Mbona hasemi Huyo Mgombea wa Cahdema na huyo Sumaye walivyochangia maisha hayo magumu katika utawala wao wakiwa Mawaziri wakuu kwa miaka 12???? Na wao ndio walikuwa watendaji wa serikali??/
 
Sasa Joyce Kiria Baba watoto wake si Kiongozi wa Chadema - Unategemea aseme nini wakati huu wa uchaguzi??? Mbona hasemi Huyo Mgombea wa Cahdema na huyo Sumaye walivyochangia maisha hayo magumu katika utawala wao wakiwa Mawaziri wakuu kwa miaka 12???? Na wao ndio walikuwa watendaji wa serikali??/

Ndo Mana Wametubu Na Kuja Kwenye Jeshi La Ukombozi
 
Joyce Kiria ndani ya JF...
Joyce Kiria: Migogoro ndani ya familia inayosababisha mateso kwa wanawake inaletwa na CCM Joyce Kiria: Migogoro ndani ya familia inayosababisha mateso kwa wanawake inaletwa na CCM via JamiiForums
Mnahangaika na Joyce Kiria, mnaijua historia yake? Mnahangaika na Joyce Kiria, mnaijua historia yake? via JamiiForums
Mume asiye na kipato vs mke mpenda makuu Mume asiye na kipato vs mke mpenda makuu; mfano Joyce Kiria via JamiiForums
Joice Kiria ni kioo cha wanawake au? Joice Kiria ni kioo cha wanawake au? via JamiiForums
Joyce Kiria ameachana na mmewe? Joyce Kiria ameachana na mmewe? via JamiiForums
Joyce Kiria amfunde Neema Lema kuachana na siasa za majitaka, Kibatala usiwapotoshe CHADEMA.. Joyce Kiria amfunde Neema Lema kuachana na siasa za majitaka, Kibatala usiwapotoshe CHADEMA.. via JamiiForums
Wanaume wenzangu naona Joyce Kiria Kileo katupa mchambo wa Karne Wanaume wenzangu naona Joyce Kiria Kileo katupa mchambo wa Karne via JamiiForums
Kutapatapa kwa Joyce Kiria Kutapatapa kwa Joyce Kiria; wanawake laivu yakimbiwa na wadhamini,ajikomba warudi via JamiiForums
Kwa ukimya huu wa Halima Mdee ni wazi Joyce Kiria alipaswa kuwa Mwenyekiti BAWACHA Kwa ukimya huu wa Halima Mdee ni wazi Joyce Kiria alipaswa kuwa Mwenyekiti BAWACHA via JamiiForums
Msaada CV ya Joyce Kiria Msaada CV ya Joyce Kiria via JamiiForums
Joyce Kiria azidi kupingana na CHADEMA, amuonya mume wake kutoshiriki UKUTA Joyce Kiria azidi kupingana na CHADEMA, amuonya mume wake kutoshiriki UKUTA via JamiiForums
 
Back
Top Bottom