Recent content by OSCAR ELIA

  1. O

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini CCM Inango'ka?

    Umemaliza kazi.Kweli kabisà wananchi wanahitaji Mabadiliko sio ahadi mpya.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Kwa historia 2015 ni wa Lowassa na upinzani

    Uchambuzi wako unaukweli ila kwa wanasiasa wasiokubali mahitaji ya wananchi wa sasa hawataelewa.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Msekwa: CCM imejiandaa kushindwa

    Tutafakari maelezo ya Mzee Msekwa kwa hekima kaona mbali.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Nimelazimika kuileta hii video hapa, Nisamehe CHADEMA

    tafsiri kwa lugha ya taifa ili ujumbe ufike kwa wote
  5. O

    JamiiForums Tanzania Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    Ni kweli utendaji mpya unahitajika kutoka UKAWA maana ccm hawana jipya.
  6. O

    JamiiForums Tanzania CCM njiapanda Urais 2015: Kumpitisha Lowassa au chama kumeguka

    Kila jambo lina mwisho na Mungu ndio mpangaji wa kila kitu.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM msikubali kufanywa watoto wadogo!!

    Hakuna haki ya kulazimisha kupiga kwa uwazi kwa watu wenye akili timamu,vinginevyo tunamatatizo ya akili jambo ambalo siamini wenye kulazimisha huo mtindo wanalo.Kumbuka hiyo katiba inaletwa kwa wananchi tutapiga kura ya SIRI kuikubali au kukikataa.Sasa wabunge walazimishe kupiga kwa uwazi huku...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Katiba ya CCM inaipa NEC Mkoa uwezo wa kumfukuza mwanachama na kiongozi

    Ndugu Nape katiba inayotumika ni ya marekebisho 2010 au 2012?Na je Halamshauri kuu ya mkoa wa Kagera wamekosea wapi?toa ufafanuzi wa kikatiba.Lakini ulipashwa kusubiri taarifa rasmi kutoka kwa Katibu wa ccm wa mkoa wa Kagera na barua za rufaa za waheshimu waliofukuzwa na utoe taarifa ya chama...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kigaila, Mpwapwa wana kuitaji wana taka msaada wako

    Nawashauri ndugu zangu wa Mpwapwa na Kibakwe mfanye mabadiliko ya kweli,sasa ni wakati wa kubadilika muachane na maamuzi ya mazoea.Bila kuamua mtaendelea kulalamika bila kupata maendeleo ya kweli.Kigaila pekee yake hataweza bila kushikamana kwa nguvu ya umma.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Jujikumbushe kauli zinazokanganya za viongozi wa chadema

    Nakuunga mkono ndivyo alivyosema,na wananchi wanaelewa hivyo sasa nawashanga wanasiasa wa ccm kupotosha ukweli wa mambo.Hivi wanafikiri wataendelea kuaminiwa kwa kusema uongo mpaka lini?
  11. O

    JamiiForums Tanzania Sita Acha Kumdhalilisha Rais

    Unajua mie nawashangaa wa ccm wanaosema serikali tatu ni mzigo,mbona hawakusema rais kuwa na mawaziri 60 ni mzigo kwa taifa.Mie naona wanaogopa ajira zao za kishikaji kukwama.Maana katiba ya Tanganyika lazima iwe pia na wizara chache ili kuondoka na kila rais anapoingia kuunda wizara kwa...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya itupe haki watumishi wa serikali haki ya kugombea vyeo vya kisiasa

    Naunga mkono .:teeth:
  13. O

    JamiiForums Tanzania Filikunjombe na Lugora kunyimwa kuchangia bajeti ya Wizara ni demokrasia?

    Hawa ndio Wabunge ambao wanajua kazi yao bungeni,wengine wanafanyakazi ya kuipongeza serikali na ndiyooooo.Kama kweli wamezuiliwa kuchangia wanawanyima wananchi wanaowawakilisha,huo ni kufinya demokrasia.
  14. O

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM jifunzeni namna ya kuchangia hoja bungeni

    Hapa umetoa somo ,naamini watazingatia somo hili,wale wenye nia njema na wananchi wanaowawakilisha.Kazi ya mbunge sio kufanyakazi ya serikali ya kuitetea serikali,maana kuna wakati nashindwa kutofautisha mbunge wa ccm na waziri mhusika katika wizara iliyotoa bajeti yake ijadiliwe.
  15. O

    JamiiForums Tanzania Bungeni: CCM kupitia Anne Makinda yaliumbua gazeti lake Jambo Leo. Yasema linaandika uongo!

    Hakuna sababu ya kutochokuliwa hatua gazeti hili kwa vile huu ni uchochezi kati ya bunge na wananchi.Kama kweli sheria ni msumeno naamini JAMBO LEO LITAADHIBIWA.
Back
Top Bottom