Msekwa: CCM imejiandaa kushindwa

Msekwa: CCM imejiandaa kushindwa

Wakuu salama,

Hatimaye msekwa kasema CCM ipo mbioni kufa na walishajiandaa.

Msekwa naona amesoma alama za nyakati mapemaa,Kweli nimeamini UKAWA mpango wa Mungu.

Naomba mwenye magazeti ya leo atuwekee hapa.


 
mwenyewe nimemshangaa sana huyu mzee anazeeka vibaya huyu si mojawapo wa washauri wa JK katika chama
 
Sasa nimeamini Msekwa ni mnafiki,anapenda hela kuliko chama chake,ni majuzi amevutiwa milioni hamsini na kusema lowassa hafai na wakapindisha kanuni.Leo kageuka tena ccm mbioni kufa duh,ccm mnalo mwaka huu kama ndo mlikuwa mkiwategemea hao wazee
 
Unashangaa nini wakati amekwisha mashauri JK katika maandalizi ya namna ya 'kuishi' baada ya kifo.
 
Wakuu salama,

Hatimaye msekwa kasema CCM ipo mbioni kufa na walishajiandaa.

Msekwa naona amesoma alama za nyakati mapemaa,Kweli nimeamini UKAWA mpango wa Mungu.

Naomba mwenye magazeti ya leo atuwekee hapa.


DSC000541.jpg
 
Ha ha ha yaani kuamini gazeti la mtanzania kuhusu kauli za viongozi wa CCM n sawa na kuamini ukweli wa kauli za viongoz wa chadema kutoka gazeti la ACT
 
CCM wamedata, niko hapa jiji kila kona wanazomewa na mgari wao wa matangazo.
Kiuhalisia ccm raia wameichoka sana. Ukikatiza kila kijiwe watu ni kuiponda tu. Kama Vipi wangejiondoa tu.
 
CCM iilaumu sana Serikali ya awamu ya nne kuwa ndiyo chanzo cha Chama chetu kwenda kuanguka. Wananchi sasa hivi wanaichukia sana CCM kwa sababu hawapati huduma za kijamii ukianzia Afya - kila kukicha ni madawa hakuna na maskini anatakiwa kununua dawa kwa fedha zake mfukoni, akina mama wanapojifungua mpaka ulipe fedha ambayo haki yao ni kujifungua bure huku mabilioni yakiibiwa na hakuna maelezo. Wananchi wachache sana wana ukwasi wa kutisha huku asilimia kubwa ya wananchi wanaogelea kwenye lindi kubwa la umaskini. Tujipe moyo labda inaewza kushinda lakini kwa kweli Serikali ya awamu ya nne inatakiwa kulaumiwa sana.
 
Back
Top Bottom