Wacha upumbavu. ******** anafurahia shida za waafrika ngozi nyeusi. Shenzi yeye. Kwani wanaopigana ni wakimbizi au ni wanamgambo? Jitu pumbavu tu kama hiyo avatar yako!!!
Laana iliyoipata Tanzania ni kumtawaza askofu Nyerere kama kiongozi wa nchi. Lile jambazi lilifkiria kwamba nchi inaongozwa kwa imaginations za mtu. Akaivuruga danganyika kielimu, kiuchumi, kijamii, kimaendeleo...etc. Mwinyi na Kikwete walijaribu kuwakomboa wadanganyika lakini mega-fool...
Povu tu. Pumbavu mkuu Nyerere alipaswa kuishi kwenye monestry la kikatoliki ila akajiingiza kwa siasa na kueneza upumbavu wake kwa wadanganyika. Sasa laana nyingine linaloitwa jiwe ambalo ni doctor na hata kiingereza hakijui. Mtazidi kuisoma number. Tanzania kuifikia Kenya ni shabaha...
Kila mkenya yuamjua Ruto ni nani. Huyu ni jambazi sugu alobobea kwa uwizi wa mali ya ummah na mauwaji ya kinyama. Kwa hivyo matamshi yake hayo kwake yeye mbona ya kawaida tu?
Uhuru amebabaika sana. Anajua ukora wake umegundulika. Tangu Enzi za Kibaki na sasa Uhuru, lao kubwa lilikuwa:
1 - Kushirikiana na mafisadi wa tume la uchaguzi kuiba kura
2 - Baada kutangazwa mshindi, moja kwa moja anaamrisha askari watekeleze unyama kwa yeyote anedai haki ili kuingiza hofu kwa...
Tunaomba watanzania mutume majeshi kumuondoa huyu jambazi kwa jina uhuru. Kwa kweli mtoto wa nyoka ni nyoka tu! Hivi alivyokuwa akikariri mambo ya kudumisha amani, nilijua tu mipango ya uwizi ushaiva. Tofauti na mwaka wa 2007 kibaki alivyoiba kura kijinga jinga tu, sasa wamegundua uwizi wa...
Huyo mshkaji nilikuwa nishaanza kumhurumia kwani ni dhahiri hii ni mauaji ya kisiasa. Ila jambo linaloniudhi ni kuwa wengi wa wanaouliwa huingia mtegoni wakiwa walevi na kutembea na Malaya. Msando pia imebainika alikuwa na kijischana cha 21yrs ilhali ana mke nyumbani! Hata kama haiusiani na kifo...
Wewe ni mzito sana kwa kufahamu jamani!:D
Hebu nenda stadium huko Dar utaona (track) ya mbio. Kisha humo katikati utaona uwanja wa nyasi (field). Kisha, ingia youtube type (IAAF world athletics championships) utaona huku wanariadha wengine wakishindana mbio, wakati huo huo wengine wanashindana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.