Kenya: IEBC ICT Manager, Chris Musando body found at City Mortuary three days after he went missing

Uchaguzi kwa mataifa mengi ya kiafrika ni unafiki na ubabaishaji hakuna ukweli ila udanganyifu uliovuka mipaka

Museveni kajimilikisha Uganda

Mugabe kajimilikisha Zimbabwe

Kabila kajimilikisha congo

Kagame kajimilikisha Rwanda

PITA NKRUNZIZA...burundi mali yake

Omar Ally Bushir......Sudan mali yake

CCM imejimilikisha Taifa la Tanzania zaidi ya miaka 50 madarakani.......

Niutapeli wakulazimisha kubakia madarakani kwa kutumia
Nguvu za dola

Watalamu uchwara wa TEHAMA...Kupika matokeo

Rushwa kwa mihimili mingine ya kiutawala hususan mamlaka za sheria na bunge nk

Wakenya hawataki kupika matokeo ya uchaguzi wanataka ukweli na ukweli uononekane kutendeka kuiweka HAKI ionekane nakila mmoja akubali haki kutendeka sio vingievo.
 
Huu ujinga Wakenya wameulea wenyewe kujifanya wanaiga Demokrasia ya Kizungu wkt wao ni Waafrika, sisi kwetu TZ ukileta ujinga ujinga Askari wetu wanakushika na haijalishi uko wapi hata Bungeni Askari wetu wanaingia na kukushikisha adabu, na bado moto utawaka Kenya na huo ujinga wenu wa democracy my dick!
Au unapotezwa jumla au unapigwa risasi mbele za watu R. I. P Mwangosi
 
Pamoja na escort magari mawili na ulinzi wa polisi sita wabaya wake wamemua. Kenya 2017 election claims its first victim.
Victim ni wengi sana. Lakini high profile huyo ndiye wa pili. Waziri anayehusika na mambo ya usalama wa ndani alifyekwa mwezi mmoja uliopita. General Nkaissery aliuliwa. Cha kustaajabisha ni kwamba replacement wake alitangazwa ndani ya masaa matatu baada ya kifo. Yaani rais aliteua kaimu ALAFU akatoa condolences kwa familia ya marehemu. That's Kenya for you.
 
Tujiandae kupokea wakimbizi, Raila hatokubali kuibiwa. Uhurutto hii damu ya Musando haitapotea bure.

Kwanini mnamhukumu Uhurutto kwa kuhisi tu? Kuna boss wake Musando aliyepewa likizo ya lazima ya siku 30 hadi uchaguzi uishe, na Msando akakaimu ofisi yake, je kwnn usihisi ni huyo? Kujua kwa uwazi bila shaka mauaji ya aina hii ni ngumu sana sbb ni ya kisiasa na kujua ni kambi ya mwanasiasa yupi katuma wauaji ni ngumu mno..
 
Mhh jaman majirani zetu poleni kwa huu msiba! yaani nchi zetu za africa hazina amani...kuna utulivu tu!SIASA NI MBAYA MNO SIIPENDI.
 
Ndiyo mnajidai kutulinganisha na Kenya kwenye demokrasia, muyaone hayo mjue Tanzania tuko katika Luigi ya aina yetu ukitulinganisha na majirani zetu hakuna wa kutufikia. Wao wanamuua mtu asiyewakosea lakini huku mijitu inaandaa hadi press conference kwa ajili ya kutukana Serikali, utaachwa?
Kenya wako mbali sana huwezi kuwafananisha na sisi. Ule uhuni wa znz ingekuwa kenya kisiwa kingezama. Watanzania ni wapumbavu na waoga.
 
sidhan kma uchaguzi wa mwaka huu utapita salama kuna kila dalili ya machafuko Kenya tena inaweza kua zaid ya yale ya 2007
Bora iwe hivyo ili watanzania muache kujifanya mnaweza kuwasaidia wapinzani wa serikali nyingine kushika madaraka ilhali kwenu mnawanyanyasa.

Hapo anakomolewa mtu.
 
Kuna wapuuzi wanadai na kutuaminisha kuwa kuna mambo ya kujifunza Kenya kuhusiana na namna bora ya kufanya uchaguzi.Tunapaswa kuwaombea ulinzi wa MUNGU kenya ibaki salama.
Kenya wanakatana mapanga kwasababu hawapendi ujinga. Bongo maneno mengi na uoga mwingi. Ungese anaoufanya liplipmbavmbav ingekuwa kenya alishakatwa kichwa zamani.
 
Watanzania wamejaa unafiki na woga sio kweli kuwa tuna amani!! Ni waoga kusimamia ukweli! Wakenya walishaamka kitambo!!! Zimebakia nchi 2 tu africa ambazo ni mamburula.....Tanzania na Zim......!!! Zingine zimeamka zamani sanaaa
Huo ndio ukweli mchungu. Mfano yule mkuu wa wilaya aliyefyeka mazao shambani kwa mtu ingekuwa kenya yeye na familia yake wangekuwa majivu kitambo
 
Huyo mshkaji nilikuwa nishaanza kumhurumia kwani ni dhahiri hii ni mauaji ya kisiasa. Ila jambo linaloniudhi ni kuwa wengi wa wanaouliwa huingia mtegoni wakiwa walevi na kutembea na Malaya. Msando pia imebainika alikuwa na kijischana cha 21yrs ilhali ana mke nyumbani! Hata kama haiusiani na kifo chake, ila huruma uniondoka kwani huenda ikawa ni faraja kwa mkewe aliyedhulumiwa.
 
Huyo mshkaji nilikuwa nishaanza kumhurumia kwani ni dhahiri hii ni mauaji ya kisiasa. Ila jambo linaloniudhi ni kuwa wengi wa wanaouliwa huingia mtegoni wakiwa walevi na kutembea na Malaya. Msando pia imebainika alikuwa na kijischana cha 21yrs ilhali ana mke nyumbani! Hata kama haiusiani na kifo chake, ila huruma uniondoka kwani huenda ikawa ni faraja kwa mkewe aliyedhulumiwa.
kwa kuwa huyo dada naye kauwawa, inawezekana yeye alitumika tu kama chambo ili waweze kumpata "Chris", rejea kisa cha Dada Yake Billionea Msuya na hse girl, hawa wa sasa hawakutaka kurudia kosa
 
Back
Top Bottom