Uzalendo ni kuipenda nchi sio kiongozi maana kwa Afrika wazalendo ni wakina Thomas Sankara, Nyerere, Gaddafi na baadhi wachache sana.. Wewe unaonekana umekulia porini maana ungekuwa una exposure ya kutembea duniani huko alafu uangalie na Tanzania miaka 62 ya uhuru jumlisha resources kibao...
Ukidadisi kiundani kuna vitu vinachanganya kidogo, waislam wanamuabudu Allah na vitu wanavyotegemea kupewa peponi ni tofauti na ambavyo Wakristo wanavyotegemea kupata mbinguni..
Waislamu wana Israel wanasema mtoa roho wakristu hawana
Wakristo wanaamini baada ya kufa na kufika mbinguni hakuna...
Siku tumetoka home baada ya sikukuu ya December bi mkubwa akanipa maziwa fresh nikapiga kama lita nzima ya moto, kuanza safari haikuchukua ata nusu saa balaa likaanza niliteseka mpaka nafika uzuri tulikuwa na private ila ingekuwa bus safari ingekufa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.