Recent content by Oromo

  1. O

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein atangaza Baraza lake la Mawaziri

    Ndio hakuna ndo maana kachaguliwa yeye. Au ulitaka uchaguliwe wewe.
  2. O

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein atangaza Baraza lake la Mawaziri

    Povu linakutoka. Kalale Mzee hiyo ndo imetoka. Wakuja jianze na wewe.
  3. O

    Fatma Karume: Dk Shein Siyo Rais wa Zanzibar

    She will never be anywhere near Benazir nor deserve that status.
  4. O

    Fatma Karume: Dk Shein Siyo Rais wa Zanzibar

    Very cheap unfortunately.
  5. O

    Fatma Karume: Dk Shein Siyo Rais wa Zanzibar

    Asante Mkuu
  6. O

    Fatma Karume: Dk Shein Siyo Rais wa Zanzibar

    Asante Mkuu ukweli lazima uelezwe. Baba yake Karume hakua chaguo la wazanzibari. In my opinion she should focus on her life and career. Kwani huu urais aligombea yeye? Mweee....
  7. O

    Fatma Karume: Dk Shein Siyo Rais wa Zanzibar

    Ndugu yangu anaugonjwa unaoitwa privileged.
  8. O

    Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amuiga Rais Magufuli

    Huyo Zuma kachelewa. Ana makesi kibao huko kwao.
  9. O

    Pemba imeikataa CCM, inakataa kurudiwa kwa uchaguzi Zanzibar

    Tena Pia bila ya mafujo na mabomu ya kushtukizia na machozi. Tunataka Ku enjoy Unguja kwa furaha na kufanya shughuli zetu. Same nonsense over and over again zimechosha.
  10. O

    Pemba imeikataa CCM, inakataa kurudiwa kwa uchaguzi Zanzibar

    Na hao mawaziri wenu walopewa ukubwa pamoja na Seif ndani ya Serikali mbona hamsemi? Acheni uongoja jamani. Na Shein si kwao Pemba? Kama kumkani hajahusu Pemba mumkane mapema kieleweke.
  11. O

    Barua kutoka Wadau wa Maendeleo(Development Partners) juu ya Uchaguzi wa Zanzibar

    Barua mbona haina nembo ya huo umoja wala sahihi? Tafadhali tuwekee link ilipotolewa hii barua kutoka hiyo ofisi yao.
  12. O

    Pemba imeikataa CCM, inakataa kurudiwa kwa uchaguzi Zanzibar

    Acha uongo. Wapemba wamejaa tele nchi za nje na wanasoma pia. Kama munaona watu Wa Unguja ni wabaya basi daini kisiwa chenu na mukiandama andameni Pemba. Watu Wa Unguja tumechoka na fujo. Pakinukuna tunachanganywa sote. Kwahiyo tafadhali mukiandamana nendi Pemba.
  13. O

    CUF kuiteka Zanzibar kwa maandamano

    Kama ni hivyo waandame Pemba. Cuf ndo wapo wengi kule.
  14. O

    CUF kuiteka Zanzibar kwa maandamano

    Maandamo Unguja au Pemba?
  15. O

    Mama Samia Suluhu aandaliwe vyema kuwa Rais wa Zanzibar 2020

    Huyo muendelee kukaa nae nyinyi Tanganyika. Hatumtaki Wazanzibari, na Zanzibar hatakiwi.
Back
Top Bottom