Ila hizi timu zetu pendwa bana kipindi cha usajili huwa nachekaga sana,watu wanakuja na majina yakutishatisha tu mara Enrinco kizumba(maradona mtupu),Jean Mokoena,philiph Kelechi Obinah(changanya Neymar wawili) vurugu tupu,ligi ianze sasa utaskia huyu tumepigwa.
Sawa usajili bahati nasibu wadau...
Mkuu nakushauri tu jitahidi uwe unapika hata kama ni kujipikilisha baadae utazoe utakuwa mkali wa jiko,tabia ya kula kwenye migahawa siyo afya sana wengine usafi hawazingatii utakuja kuumwa yaliwahi kunikuta.
Nunua mahitaji kwa jumla huepusha pia gharama inaonekana hata usafi unaitaga wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.