Recent content by Orishirishi

  1. O

    JamiiForums Tanzania Joseph Roman Selasini (MB): Naibu Spika; Kufuru uliyofanya dhidi ya Ukristo haivumiliki

    Kwa hiyo unamaanisha wasabato hawajui maana ya msalaba kama wapagani au nimekuelewa vibaya?
  2. O

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa biashara kongwe zaidi duniani waanikwa

    Siku hizi watanzania tumechagua kuweka kila kitu hadharani, kuanzia video chafu hadi voice notes, wacha movie iendelee
  3. O

    JamiiForums Tanzania A purge

    You could sense that from his facial expression yesterday during the inaugural ceremony. I guess there was a serious conselling prior the ceremony, otherwise🤔🤔🤔
  4. O

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi TLS : Wakili Fatma Karume aka Shangazi kutogombea tena Urais Wa TLS

    😂😂😂 seriously mnapendekeza Seka arudi tena😂😂😂💃💃💃
  5. O

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: It takes More Than a Gun to Kill a Man

    Nimeoteshwa kiinglishi kinaandaliwa muswada wa kupigwa marufuku ndani na nje ili kukuza matumizi ya lugha ya Taifa. 😆😆😆
  6. O

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya mabadiliko Baraza la Mawaziri. Mwijage na Tizeba nje, Waitara ndani

    Sakata la korosho halijawahi kumuacha mtu salama😨😱
  7. O

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Mgambo aliyepiga raia amefanya kitendo cha kinyama, amenishtua sana, akamatwe

    Ukisikia mwaka wa tabu, ndo huu kwa dogo. Huku makontena hayajapoa, huku migambo wanaruka na kukanyaga raia. 😨
  8. O

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea: Sirro atengwe, asulubiwe

    Mnaanzaje kuacha kutangaza habari za makamanda sasa? Jaribuni muone kama hatujaanza kutekeleza sheria inayokataza kuchapisha magazeti binafsi isipokuwa ya Chama na Serikali tu. Na hatutakuwa na mzaha katika hilo😱😈
  9. O

    JamiiForums Tanzania Fanya "kadirio la kishushushu" kuhusu "who's next" Chadema to CCM

    Wakili msomi pale kwenye Ukuta it's a matter of time. Nadhani hajang'oka mpaka sasa anakamilisha kazi maalum
  10. O

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Mh.Ana Mghwira ahoji kwanini askari wa kudhibiti maandamano walikuwa na silaha za moto.

    Mama halahala kidole na jicho mama.
  11. O

    JamiiForums Tanzania Ni Ulofa uliopitiliza kumfananisha huyu mrembo na Zari Mzee

    Nimeshamuuliza hili swali Mtarban hanijibu, akikujibu ni-cc tagadhali;););)
  12. O

    JamiiForums Tanzania Jumbe aeleza alivyofuatwa na Wasafi kumuomba wimbo wake "Siri"

    Samahani Mtarban, wewe ni he or she? Kulikoni hSimba na Wasafi huwa wanakushughulisha sana? Kuna wakati nilikuwa nakuhisi wewe ni Mobeto,
  13. O

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu: Inasikitisha Waziri Kigwangalla kunichafua, kunidhihaki na kusema uongo ndani ya Bunge dhidi yangu

    Hili nalo neno, hebu Kigwangwala tusanulie na ya kina wazee wa vijisenti, waliobeba minoti kwenye sandarusi, walioficha minoti uswisi na mafisadi wengine ndani ya system tufanye maamuzi
  14. O

    JamiiForums Tanzania Picha: Zari, Diamond wakiwa UK

    Doh! Bonge la jibu aisee
  15. O

    JamiiForums Tanzania Je, kucha zilisha mgharimu Zari kama wengine?

    Umeua khaaaaa!
Back
Top Bottom