Mkuu wa Mkoa Mh.Ana Mghwira ahoji kwanini askari wa kudhibiti maandamano walikuwa na silaha za moto.

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,442
55,017
..nampongeza Mama Ana Mghwira kwa kuwa mkweli.

..hakukuwa na sababu ya Polisi kupiga risasi waandamanaji ambao hawakuwa na silaha za moto.

..Polisi walitumia DEADLY FORCE.

..Nguvu hiyo ni halali ikiwa njia zote za kudhibiti waandamanaji zimeshindikana, na KUUA ni uamuzi wa mwisho ili kuepuka madhara zaidi yasitokee.

Penye ukwel pasemwe ukwel tyuu
 
Mama halahala kidole na jicho mama.
 
awe makini asije akatemeshwa ugali wake!!!

Makuku Rey
Its better to live once as a lion than to live thousands years as an Ant.

R.I. P Binti Akwilina B
R.I.P. Diwani CDM wa kata moja wapo huko mkoani Morogoro.

Ndoto zenu zote zimezimwa ghafula kama vile mshumaa uzimwavyo.
 
Mlioko karibu na huyu mama mwambie anyamaze aendelee kula taratibu vinginevyo atamwaga unga salsa hivi!
 
Huyu mama naona bado ana vinasaba vya upinzani. Kumbe bora act wazalendo wangemwacha tu aendelee Kuwa mwenyekiti wao.
 
Back
Top Bottom