Recent content by Original

  1. O

    JamiiForums Tanzania Mashtaka ya ugaidi Tabora yafutiliwa mbali, Henry Kilewo na wenzake 4 huru kwa tuhuma hizo

    Huyo ni jaji wa chadema.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Kuna vyama vya Siasa vinaunga mkono hali ya Mtwara

    CDM iko nyuma ya vurugu hizi.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Thibitisha kauli yako tafadhali.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Mkuu unaweza kuthibitisha ama kuleta ushahidi kwamba Jakaya Kikwete anahusika katika kupanda na kuchochea udini?. Si hekima kusema neno bila ushahidi. Ukimya, ustaatabu na uvumilivu wa Jakaya Kikwete usitumiwe vibaya.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Msuya anatibiwa hospitali ghali ya kifalme Uingereza

    Viongozi wetu wanafanya haya yote makusudi kabisa kwani wanajua watanzania watasema na kuyaacha. Dawa yao tungeanza kuwatenda kitu mbaya kila wakati tupunguze maneno. Ninawangoja wafike muhimbili kwenye kitengo changu.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Chadema kwanini mnakuwa na kigugumizi cha kuanzisha chadematv/m4ctv??...

    Tatizo ni vibali na wala si pesa. Vibali vinatolewa na serikali na bila shaka serikali haiko tayari kutoa vibali hivyo kwa Chadema kwani moto wa chadema unajulikana. Clouds na Itv wanajua hilo ndiyo maana wanajikomba kwa serikali ya CCM wamekubali kuwa watumwa. Cha kufanya ji kuanzisha TV na...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Msuya anatibiwa hospitali ghali ya kifalme Uingereza

    Lipokuja suala la matibabu viongozi wetu si watanzania tena bali ni raia wa kigeni.
  8. O

    JamiiForums Tanzania Kamati za Lowassa na Zitto zavunjwa

    Kifo cha nyani kila mti unateleza. CCM hata ifanye nini kifo kiko mlangoni.. Miaka 50 ya kujaribu imetosha na sasa kaeni pembeni.
  9. O

    JamiiForums Tanzania Vinara mgogoro wa gesi watajwa...

    Tatizo si kwamba gasi isifike Dar. Ila tunataka kiwanda kijengwe Mtwara na gasi isafirishwe kwenda sehemu nyinhine r:
  10. O

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Wabunge wapingana juu ya Hoja Binafsi ya Mhe. Mbatia, wengine wamfuata nje ya ukumbi!

    Waziri wa elimu ni lazima aachie ngazi. Wananchi tuingie mitaani kuwaunga mkono wabunge wetu wa vyama vya upinzani katika hili jambo.
  11. O

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Wabunge wapingana juu ya Hoja Binafsi ya Mhe. Mbatia, wengine wamfuata nje ya ukumbi!

    Tumejenga majengo yanayoitwa shule lakini si shule kwa maana ya shule. CCM wanalijua hilo ndiyo maana watoto wa viongozi wanasoma nje ya nchi.
  12. O

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Waziri wa Mambo ya Ndani na IGP waelekea Mtwara kusaka suluhu!

    Kuna habari za uhakika toka Mara kwamba wakurya nao wanataka kuandamana kupinga madini kubebwa na wageni.
  13. O

    JamiiForums Tanzania Polisi watumia mabomu kuwatawanya wananchi maeneo ya BIAFRA

    Jaribu uone utamu wa sero.
  14. O

    JamiiForums Tanzania Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

    Kwanini hawachomi moto ama kuharibu ofisi za chadema na cuf?
  15. O

    JamiiForums Tanzania Gesi Yetu Na Alichoniambia Profesa Chachage Jana Usiku...

    Mkuu Pasco with due respect naomba kutofautiana na wewe kwenye hili suala. Watu wa Mtwara hawazuii gesi isifike Dar na sehemu nyingine za Tanzania. Wanachotaka ni kile walichokuwa wanakiomba miaka nenda miaka rudi. Wanataka kiwanda kijengwe Mtwara ili nao wapate ajira na maendeleo mengine...
Back
Top Bottom