Recent content by Orhan bey

  1. O

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Tundu Lisu aachiwe huru kwa mujibu wa sheria, akamatwe tena na kufunguliwa mashtaka upya yenye ushahidi mpya uliothibishwa.

    Nawaoneaa Hurumaa saana Machawaa olee wenu zitakapokuja zile siku mbayaa kwenuu machawaaa. Ole
  2. O

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Tundu Lisu aachiwe huru kwa mujibu wa sheria, akamatwe tena na kufunguliwa mashtaka upya yenye ushahidi mpya uliothibishwa.

    Nawaoneaa Hurumaa saana Machawaa olee wenu zitakapokuja zile siku mbayaa kwenuu machawaaa.
  3. O

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu hitilafu ya Mfumo wa Ajira Portal iliyosababisha kushindwa kuwasilisha maombi ya kazi

    Nicheck inbox nikusaidiee uombee ni suala dogo sana hilo
  4. O

    JamiiForums Tanzania KERO NACTVET kuongeza kimyakimya vigezo vya udahili kwa kozi za afya kunazua maswali

    Kabisaa yaanii sasa hivii D ni mtu mwenye uwezo mdogo sana halafu anaendaa kusomeaa afya
  5. O

    JamiiForums Tanzania KERO NACTVET kuongeza kimyakimya vigezo vya udahili kwa kozi za afya kunazua maswali

    Nawapongeza sana NACTVET walichelewaa saana na ilitakiwa wapandishe zaidi vigezo ili mtu asome afya ambayo ni maisha ya watu inabidii awe na angalau na C tano yaani PHY C,CHEM C, B/MATHS C,Bio C na Eng C chinii ya hapo wakasomee fanii zinginee mbona zipo nyingii tuu
  6. O

    JamiiForums Tanzania Eti Mapenzi yanauma? Hivi mnajuaa maumivu ya NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW AJIRA PORTAL nyie?

    Maumivu yote hayo unaweza kwenda hospital ukatibiwaa lakini maumivu ya NOT SELECTED hayana tiba
  7. O

    JamiiForums Tanzania Eti Mapenzi yanauma? Hivi mnajuaa maumivu ya NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW AJIRA PORTAL nyie?

    Hayo unaweza kunywa dawaa au ukaenda hospital kwa matibabuu ila maumivu ya NOT SELECTED hayana tiba yanakumaliza kimya kimya
  8. O

    JamiiForums Tanzania Eti Mapenzi yanauma? Hivi mnajuaa maumivu ya NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW AJIRA PORTAL nyie?

    Kiukwelii tangia nizaliwee sijawahii kuhisi maumivu kama siku ambayo nilifanya interview mbili kwa siku moja pale Dodoma kipindi hicho mambo ya kufanyia online hayajaanza usiku saa mbili nipo zangu lodge nakutana na NOT SELECTED zote moja nimepata 49 na wamechukua hadi 50 na hapo nimetokea...
  9. O

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeitumikia VETA miaka mitano nikifundisha masomo zaidi ya matano kwa laki tatu. Kila ajira zikitokea sipewi kipaumbele

    Hawaitii tuu halafu pia VETA wao wanaomba watu kutoka sekretarieti ya ajira ambao ndiyo wanatangaza nafasi za kazi kupitia ajira portal,wanaita watu kwenye usaili na ukiendaa kule utumishii wao wanaangalia uwezo wako wanaamini kama umefanya kazi huko ya kujitolea muda mrefu basi utakuwa na...
  10. O

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeitumikia VETA miaka mitano nikifundisha masomo zaidi ya matano kwa laki tatu. Kila ajira zikitokea sipewi kipaumbele

    Lakini pia ni VETA gani hiyo ambayo wewe mtu mmoja unafundisha masomo zaidi ya matano wewe umesoma fani ganii??
  11. O

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeitumikia VETA miaka mitano nikifundisha masomo zaidi ya matano kwa laki tatu. Kila ajira zikitokea sipewi kipaumbele

    Polee sana ndugu yangu najua namna unavyojisikia lakinii inawezekana hujui namna ajira zinavyopatikana,ajira zote sasa hivi zinapatikana kwa ushindani kupitia sekretarieti ya ajira kwa hiyo unailaumu VETA bure wao hawahusiki na usaili wala hawana uwezo wa kukupendelea wewe. labda pia nikuulze...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Kilio cha Vijana kwa Utumishi: Mfumo wa 'Ajira Portal' Umerahisisha Kazi au Umetuongezea Msongo wa Mawazo?

    Wamesema wataanza kutoa hivii karibu Mkuu hoja zako nazielewaa coz hata mimi nilipitia hayo unayopitia saivii lakinii lazimaa uelewe mambo ya serikalii hayaendii hivyo kama unavyotaka yawe japo sheria wanatungaa wenyewee mfano sheria inasema ukishapata kazi inabidii ulipwe pesa ya kujikimu...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Kilio cha Vijana kwa Utumishi: Mfumo wa 'Ajira Portal' Umerahisisha Kazi au Umetuongezea Msongo wa Mawazo?

    Nakushaurii kuwa mpolee jiandae na usailii huku ukifanya mambo menginee,,uharaka wa kuita kwenye usaili inategemea Taasisi husika inayohitaji wafanyakazi kama ina uharaka na budget yake
Back
Top Bottom